Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Huyu anayejipost kupitia account ya mumewe na kujijibu hafu Ile kitchen part ya watu yeye na mumewe na mikeki wapi na wapi, hivi hivi na director Joan waligombana baada ya kupost picha za baby shower na ilikuwa Siri. Resty mchapakazi ila kutaka kufuraisha watu mitandaoni Kuna mfanya awe kitu
Namsikitia mwamba si manyanyaso yale
 
Majimama mengine au wadada hupenda tu huyo mtu vile anapostiwa so anakuwa easy target mkewe si ana mfanyia promo kwa kujifanya mumewe ana care so hizo show off ndio zina attract mijimama ya mjini inayopenda kulea.
Ila from my experience wanaume wengi hawapendi mapicha picha mtandaoni au kujipiga selfie huwa mwiko, Sasa huyo wa resty ndo analelewa atafanyaje sasa
Hiyo Mijimama inazingua balaa... 😄😄 utadhani hawana kazi zingine za kufanya
 
Huyu anayejipost kupitia account ya mumewe na kujijibu hafu Ile kitchen part ya watu yeye na mumewe na mikeki wapi na wapi, hivi hivi na director Joan waligombana baada ya kupost picha za baby shower na ilikuwa Siri. Resty mchapakazi ila kutaka kufuraisha watu mitandaoni Kuna mfanya awe kitu
Kumbe hayupo vizuri na director Joan?? Ila Hawa wadada rest, director Joan na ester Dalal wanapata hela nyingi Sana Kwa kuuza vipodozi kupitia instagram. Yule rest anafanya vituko Ili avutie followers waongezeke ndo wateja wake

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom