Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Hata kukupost mara moja kwa mwaka hutaki? Mimi nisingefuta hiyo picha jamani. Kuna muda huba linakukolea, unatamani umtambulishe mwenzio kwa dunia nzima[emoji38][emoji38]
Na huba likikolea hakuna kitu utasikia..

Ila ndiyo hivyo..Hawa Watoto wa Mama Mkwe Hawapendi kupostiwa..
 
Hata kukupost mara moja kwa mwaka hutaki? Mimi nisingefuta hiyo picha jamani. Kuna muda huba linakukolea, unatamani umtambulishe mwenzio kwa dunia nzima[emoji38][emoji38]
Sasa unakuta mtu huna picha yako kwenye account halafu unajulikana bila kufahamu,unakuta marafiki zake wote wanakufahamu halafu wanakuchora huko mtaani ukisimama na mwanamke mwingine,unakuta taarifa zimeshafika unaniniwa huambiwi sababu
 
Si aliambiwa ana ukimwi ndo mkae mjue ameolewa anapendwa na kuzaa amezaaa hahahhaaah Instagramaaa
Ila tangu wameanza kuzungumzia huo ukimwi hadi leo itakuwa uwongo tu
 
Kwa hiyo hamtaki tuwapost, ili msijulikane, mchepuke kwa amani eeh? Tunaanza rasmi kampeni ya kuwapost[emoji34][emoji34]
Sasa unakuta mtu huna picha yako kwenye account halafu unajulikana bila kufahamu,unakuta marafiki zake wote wanakufahamu halafu wanakuchora huko mtaani ukisimama na mwanamke mwingine,unakuta taarifa zimeshafika unaniniwa huambiwi sababu
 
Kwa hiyo hamtaki tuwapost, ili msijulikane, mchepuke kwa amani eeh? Tunaanza rasmi kampeni ya kuwapost[emoji34][emoji34]
Kupostiwa inategemea mtu na mtu ,kuna wanaume wengine wanaona poa tu,na pia sometimes kupostiwa ni kama kuonyesha kwamba haogopi uko peke yako ,Sasa uboya unapostiwa kumbe ni kuzuga tu watu wanapiga Kama kawa
 
Hahaha mabaharia wanaokumegea, wanacheka tu pembeni daah

Ndo pagumu hivo heri kimya kimya , au hujakutana na dhahma unapost halafu mwingine anakuja kucoment baby wapi hiyo ....halafu we umelala na comment inatrend tu
 
Hahahahaah nashukuru Mungu nilipita hiyo phase salama daah

Resty nimeongea nae leo kwa simu. Atakuwa na kashule kidogo au exposure tofauti na nilivyokuwa namchukulia nikisoma nyuzi zake nyingi humu
 
Hahahahaah nashukuru Mungu nilipita hiyo phase salama daah
Zamani nilipost sana,ila tangu Magufuli aisee nimezifuta picha na sipost naingia tu kuona yanayoendelea,nadhani unavyokua na Mambo yanabadilika ule huyo Resty yeye ndo kama anaanza upya.
 
Yeah kweli kabisa

Upo best , long time sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…