Namsikitia mwamba si manyanyaso yaleHuyu anayejipost kupitia account ya mumewe na kujijibu hafu Ile kitchen part ya watu yeye na mumewe na mikeki wapi na wapi, hivi hivi na director Joan waligombana baada ya kupost picha za baby shower na ilikuwa Siri. Resty mchapakazi ila kutaka kufuraisha watu mitandaoni Kuna mfanya awe kitu
Manyanyaso si kidogo yule mwamba anapataNamsikitia mwamba si manyanyaso yale
Hiyo Mijimama inazingua balaa... ππ utadhani hawana kazi zingine za kufanyaMajimama mengine au wadada hupenda tu huyo mtu vile anapostiwa so anakuwa easy target mkewe si ana mfanyia promo kwa kujifanya mumewe ana care so hizo show off ndio zina attract mijimama ya mjini inayopenda kulea.
Ila from my experience wanaume wengi hawapendi mapicha picha mtandaoni au kujipiga selfie huwa mwiko, Sasa huyo wa resty ndo analelewa atafanyaje sasa
Kumbe hayupo vizuri na director Joan?? Ila Hawa wadada rest, director Joan na ester Dalal wanapata hela nyingi Sana Kwa kuuza vipodozi kupitia instagram. Yule rest anafanya vituko Ili avutie followers waongezeke ndo wateja wakeHuyu anayejipost kupitia account ya mumewe na kujijibu hafu Ile kitchen part ya watu yeye na mumewe na mikeki wapi na wapi, hivi hivi na director Joan waligombana baada ya kupost picha za baby shower na ilikuwa Siri. Resty mchapakazi ila kutaka kufuraisha watu mitandaoni Kuna mfanya awe kitu