Kimeumana Simba: Kagoma afuta Kila kitu kuhusu Simba mtandaoni

Katika hali ya kushangaza kiungo wa klabu ya Simba SC Yusuph Kagoma amefuta picha zake zote akiwa na klabu yake, pamoja na utambulisho wake Kama mchezaji wa Simba SC katika Mtandao wa Instagram (BIO).

Ikumbukwe @kagoma_21 alikuwa akiuguza majeraha ambayo yalimuweka nje ya uwanja katika michezo kadhaa ambayo klabu ya Simba wamecheza.

Pia kiungo huyo hajasafiri na timu ya Simba siku ya Leo kuelekea nchini Algeria kwenye mchezo wa pili wa Simba hatua ya makundi Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine.

#FutbalPlanetUpdates

Unaambiwa huko ukoloni ......moto juu ya moto ......yajayo yanatisha View attachment 3168873
IMG_20241205_112152_969.jpg
 
Laban, unamchango mdogo sana kwenye hili taifa!
Mahusiano ya simba na Kagoma ni ya kisheria, sio kihisia kama wasanii wanavyoachana na kudelete picha!
 
Mkuu...ukitaka watu wenye mchango mkubwa hapa jf Mimi wakwanza
 
Katika hali ya kushangaza kiungo wa klabu ya Simba SC Yusuph Kagoma amefuta picha zake zote akiwa na klabu yake, pamoja na utambulisho wake Kama mchezaji wa Simba SC katika Mtandao wa Instagram (BIO).

Ikumbukwe @kagoma_21 alikuwa akiuguza majeraha ambayo yalimuweka nje ya uwanja katika michezo kadhaa ambayo klabu ya Simba wamecheza.

Pia kiungo huyo hajasafiri na timu ya Simba siku ya Leo kuelekea nchini Algeria kwenye mchezo wa pili wa Simba hatua ya makundi Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine.

#FutbalPlanetUpdates

Unaambiwa huko ukoloni ......moto juu ya moto ......yajayo yanatisha View attachment 3168873
We hata ukiamka usiku unaiona simba mbele yako...umejaza akili na mambo ya Simba simba...huna kazi nyingine za kufanya...
 
Ukiona mwanaume anashabikia mabaya ya upande fulani ujue huyo hata shetani ana nafuu..tulishazoea ss wadada mambo hayo ndo maana tuliwachonganisha na Mungu...hahaaa i
 
Kuna 50k lako Dada nicheki kuanzia tarehe 23 🤣🤣🤣

Kijamaa kina mambo ya Kishoga sio ya Kike tu
 
Mbona trh 23 jamani isiwe leo..hahahah natania bana..
Yani huyo anasubiria negative ya Simba chapuu kuanzisha uzi...
 
Katika hali ya kushangaza kiungo wa klabu ya Simba SC Yusuph Kagoma amefuta picha zake zote akiwa na klabu yake, pamoja na utambulisho wake Kama mchezaji wa Simba SC katika Mtandao wa Instagram (BIO).

Ikumbukwe @kagoma_21 alikuwa akiuguza majeraha ambayo yalimuweka nje ya uwanja katika michezo kadhaa ambayo klabu ya Simba wamecheza.

Pia kiungo huyo hajasafiri na timu ya Simba siku ya Leo kuelekea nchini Algeria kwenye mchezo wa pili wa Simba hatua ya makundi Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine.

#FutbalPlanetUpdates

Unaambiwa huko ukoloni ......moto juu ya moto ......yajayo yanatisha View attachment 3168873
Tunajua wapo wawili tu hatushangai
 
Back
Top Bottom