Kimeumana Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nasikia harufu ya mfumuko, Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi.

Tukae darasani tusome uchumi tuueleweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mwigulu mwenyewe na PH.d yake ya from Jalalani Univ. hajauelewa huo uchumi mpk leo.
 
Kabla hujazaa ujue mustakabali(future) wa mwanao utakuwaje, sio kumuachia msala.
 
Nasikia watu waliosomea uchumi ni wabahiri hatari.....
Hapana sio ubahiri..
Siku zote resources ni limited na wants ni unlimited.. shida zote katika uchumi zinaanzia hapo..
Hao unaowaita mabahiri ni kwamba wanajua kucheza na priorities na wanazingatia sana opportunity cost(s)
 
Kabla hujazaa ujue mustakabali(future) wa mwanao utakuwaje, sio kumuachia msala.
Mkuu kibongobongo hata kama hujazaa utakutana na msala wa ada za wapya, sijui watoto wa ndugu.......unaweza kuwa na mtoto mmoja lakini kiuhalisia unao 20 ukichanganya wapwa na watoto wa ndugu...
 
Hapana sio ubahiri..
Siku zote resources ni limited na wants ni unlimited.. shida zote katika uchumi zinaanzia hapo..
Hao unaowaita mabahiri ni kwamba wanajua kucheza na priorities na wanazingatia sana opportunity cost(s)
Basi kwa mwendo huu wachumi hawafai kuwa mawaziri wa fedha, kulisha watu matembele kisa nini.......wekeni watu waliosoma biashara na fedha kama kina Kimei uone kama watu tutalia njaa hapa......
 
Mkuu kibongobongo hata kama hujazaa utakutana na msala wa ada za wapya, sijui watoto wa ndugu.......unaweza kuwa na mtoto mmoja lakini kiuhalisia unao 20 ukichanganya wapwa na watoto wa ndugu...
Kweli ila hao kuwakaushia sio issue. Ila pia hata ukiwachangia wakimaliza kuna swala la kuwatafutia michongo.
 
Nasikia harufu ya mfumuko, Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi.

Tukae darasani tusome uchumi tuueleweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
mbona vijana wengi tuu wapo mitaani wana masters na PHD zao za uchumi? na wana IQ kubwa tu, kuliko hao viongozi wenu kina mwigulu na wengineo.

Swala sio kusoma, swala ni nafasi. Unasoma unaenda wapi, kufanya nini, watu wamesoma hawapewi nafasi wanaishia kuwa machinga, wajasiriamali na wafanyabiashara.

Saizi elimu inazaraulika maana hata waloishia la saba wanajua kuhesabu pesa na walishaanza kuzichuma wakiwa bado wadogo.
 
Bora hii wizara wampe mzee Bakhresa walau kwa miezi sita tu, huenda akabadilisha mchezo. Hawa wasomi ni bure tu.
 
Back
Top Bottom