Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Wewe unaleta Utani!
Ingia google search andika Vanila Industries Tanzania...
Utapata Kiwanda cha Vanila ambacho kipo Moshi,Wasiliana nao Uulize bei Utapata majibu,
Kinaitwa Natural extractive industries, just Google...
Nime google Vanila Industries Tanzania.
Ulixa wakulima pia
Hivi hapa tatizo ni nini!? Watu hawaamini kuwa vanilla inauzwa kwa bei ya juu sana duniani au ni hiyo 850,000/= kwa kilo! Hamuelewi nini - 850,000/= au milioni moja au kilo moja yaani one kilogram au 1000 grams!? Ni kipi akili zenu kinashindwa to comprehend hapo!?
 
Sio kweli...na kiwanda kipo huko huko Moshi
Hapa wengine wanaongea tu kisa uzi upo jamvini.
IMG-20211005-WA0003.jpg
 
Mkuu katika soko la mataifa hiyo ndio bei yake ila mpaka ifike huku Ulaya
Mimi binafsi nanunua ya Madagascar Na bei zake ziko juu sana ila kama ukiangalia wanaouza kwenye mitandao ndio bei zake hizo 1m
View attachment 1982729
Kama almasi ni milioni kadhaa haimaanishi na mimi nitakupa guarantee ya kununua kwa bei hio ukizingatia na mimi ni muuzaji sio mnunuzi wa mwisho na ninanunua quantity kubwa...

Issue yangu ya mimi na hao wadau ni kwanini wasianze kununua sasa hivi hata kwa pesa pungufu ya hapo ili wawauzie kina nyie? (Yaani wakati tunapanda na kupalilia tunauza) sio tungoje tuvune ndio tuanze kuuza wakati kuna mzigo upo tayari.
 
Inawezekana wewe Uko Sahihi Mkuu[emoji3516]
Mi uki google tuu nakubali sio maneno matupu

Ushahidi ni mimi mwenyewe mkuu kwani ninanunua sana na kuuza

Pia google inasaidia sana kwa ushahidi nashangaa watu wanabisha bila kujisomea kwanza
 
Kama umewekeza huko nenda kwa RPC, hayo sio maneno yangu ni maneno ya DC.

Pole mkuu kwa yote. Kagera na Hai wanalima Vanilla miaka yote ila sio milioni moja kwa kilo.
Ni milioni au elfu au shilingi ngapi kwa KILO, mbona hamuitaji hiyo bei au hamuijui mna semasema tu na ku quote mambo ambayo mtu hakusema. Unajua uongo uukirudiwa rudiwa au kusemwa semwa na bila kukanushwa kwa FACTS, wachache wasiojua ukweli wataamini UONGO HUO! Kwa lugha ya kidplomasia hiyo inaitwa PROPAGANDA.
 
Usikubali kuwekeza popote kama fursa inayotangazwa kampuni haijasajiliwa soko la hisa

Waulize tu mumesajiliwa soko la hisa ili niwekeze hisa zangu?

Wengi wametapeliwa mara sijui wekeza kwenye kuku,vanilla sijui shamba umwaligiliaji rufiji nk usiwekeze kwenye kampuni inayojitangaza tu isiyokuwa soko la hisa .ukisikia wekeza shilingi hizi utavuna mara kumi uliza tu mumesajiliwa soko la hisa? wakisema hapana achana nao
Kongole kwa ushauri mzuri sana.
Uache siasa za majitaka na ujikite kuandika vitu vya msingi kama hivi.
Mungu akubariki.
 
Kama almasi ni milioni kadhaa haimaanishi na mimi nitakupa guarantee ya kununua kwa bei hio ukizingatia na mimi ni muuzaji sio mnunuzi wa mwisho na ninanunua quantity kubwa...

Issue yangu ya mimi na hao wadau ni kwanini wasianze kununua sasa hivi hata kwa pesa pungufu ya hapo ili wawauzie kina nyie? (Yaani wakati tunapanda na kupalilia tunauza) sio tungoje tuvune ndio tuanze kuuza wakati kuna mzigo upo tayari.

Kweli kabisa maneno yako
Na kama huna soko la nje ni ngumu kuuza kwa hiyo bei kwani bei wanayoambiwa watu ni ya Ulaya na sio inapolimwa
Kama unapata 350-45,000 ukiwa hapo ni neema ila hijalishi mimi ntauza kwa ngapi
Nakuombea mafanikio
 
Kama kuna kenge mmoja alikuja kunitembelea shambani kwangu nafuga kuku wa mayai akananimbia fuga na sungura ,eti sungura mmoja anauzwa mpaka 60000 na soko lake ni kubwa wakati mimi mwenyewe na utu uzima wangu sijawaai kula sungura ,nikasema inamaana sungura ana bei sawa au zaidi ya mbuzi niakona huu ni utapeli pale tu aliponiambia aniuzie vifaranga vya sungura.

Mkojo wa sungura ni pesa ndefu bwashee [emoji3]
 
Karagwe wameamua kuachana nayo kwasbabu waganda wanakuja na AK 47 na mabomu ya kurusha kwa mkono ili kuiba vanilla shambani kwa mkulima....ukiona mnyambo kanyoosha mikono (naturally jamii ya hawa watu huwa hawashindwi) ujue vanilla siyo!
Vanilla ni SAwa na opium ya mexico inalindwa na bunduki.
Nilipanga kulima vanilla hata kabla ya promotion.Ila shughuli yake sio rahisi heka 1 moja tu we umasikini kwaheri ila shughuli pevu.
 
Back
Top Bottom