Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Kamati Ya Bunge Nayo Ilikwenda Huko Njombe
kamati ya wabunge wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati Ya Bunge Nayo Ilikwenda Huko Njombe
Ulitumia akili kubwaBinafsi nilimpigia huyo jamaa wa Vanila international nikamwambia kuwa nina tani moja ya vanila nimpeleekee .
Akanijibu kuwa kwa sasa hashughulikii na ununuzi na hawajaanza kununua ndiyo nikajua kuwa ni matapeli.
Bukoba wanalima wenyewe wanapeleka wanapewa pesa ila sio 1M kwa kilo huo ni utapeliHalafu majamaa yanasema lete hela nikulimie. Kwanini wasilime wao wapate 1M kwa kilo?
Ukisikia fursa ndiyo kama mkuu lkn jamaa alikuwa mjanja mjanja tuUlitumia akili kubwa
Marekani wanatumia sana, wengine ni kwa ajili ya sababu za kiafya wengine kama kiburudisho...na states nyingi wameshaanza kuihalalishaMkuu, na marekan wanatumia ganja?
Bei yake ni kati ya $200/= hadi $300/= kutegemeana na ubora wakeBukoba wanalima wenyewe wanapeleka wanapewa pesa ila sio 1M kwa kilo huo ni utapeli
Ndiyo Wale Wabunge Mizigokamati ya wabunge wa ccm
Ndiyo Wale Wabunge Mizigo
Sana, lakini ni wale wa porini. Shambani kwangu kuna baadhi ya wakazi ni wamasai/mang'ati, vijana wao huniwindia kwale na kuniletea halafu tunafanya barter trade mimi nawapa vocha za miatano miatano.Ila kware mtamu jamani
Dindika AvaeMasama,Mbweera na Uswaa Mamba Kuna Vanilla na mnunuzi ni Mei Kwa Kilo 20000
Uchunguzi Ukifanyika Utakuta Nao WamoHao hao
Hapana Mkuu...
Kila moja ni Tsh laki moja not millioni.
Uchunguzi Ukifanyika Utakuta Nao Wamo
JiweMbeleko iliyokuwa inawabeba imekatika harudi mtu