MTAU JR
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 216
- 305
Kumbe sungura nao wana vifaranga kama kuku[emoji848][emoji848][emoji848]Kama kuna kenge mmoja alikuja kunitembelea shambani kwangu nafuga kuku wa mayai akananimbia fuga na sungura ,eti sungura mmoja anauzwa mpaka 60000 na soko lake ni kubwa wakati mimi mwenyewe na utu uzima wangu sijawaai kula sungura ,nikasema inamaana sungura ana bei sawa au zaidi ya mbuzi niakona huu ni utapeli pale tu aliponiambia aniuzie vifaranga vya sungura.