Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe

[emoji625]Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali Inaendelea kufuatilia jambo hii kwa Kina. Aidha kwa wale ambao tayari wamewekeza waweze kufika kwa RPC wa Mkoa wa Njombe kama ambayo Mheshimiwa RC ameagiza ili kujihakiki majina yao.

Nitoe wito kwa wananchi ambao wanakusudia kuwekeza kusubiri kwanza kuendelea na uwekezaji huu uliopo hadi pale serikali itakapojiridhisha ili kuepusha migogoro au sintofahamu ya aina yoyote inayoweza kujitokeza kwa wananchi.

[emoji625]Kazi inaendelea
Picha zinaelezea ziara ya leo nilipoongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama kwenda kufanya ukaguzi wa eneo maarufu lililowekezwa Vanilla wilayani Njombe.
Binafsi nilimpigia huyo jamaa wa Vanila international nikamwambia kuwa nina tani moja ya vanila nimpeleekee .

Akanijibu kuwa kwa sasa hashughulikii na ununuzi na hawajaanza kununua ndiyo nikajua kuwa ni matapeli.
 
Mambo ya Mr. Makuku hayo
Inawezekana huo mradi umekaa kiujanja ujanja.
Ila katika pitapita zangu mitandaoni kuhusu thamani ya zao la vanila ni kubwa, niliona wakulima wa vannila nchini Madagascar wanalalamikia usalama wao pindi wakishavuna, hata kama ana kilo moja au mbili hua wanafatwa usiku na majambazi yenye silaha za moto na kuwanyang'anya.
 
Iyo Vanilla inalimwa kwa mfumo wa pea ?
View attachment 1982669
Hahahaha a daaaa nimecheka Kama mazuri Hawa jamaa Wana vituko ACHA Kabisa nilishawahi kutana na kenge Mmoja kutoka forever living akaanza hizi swaga akijua kapata boya nikamchora weee mpaka mwisho wa mchezo halafu nikampotezea tu!
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Usikubali kuwekeza popote kama fursa inayotangazwa kampuni haijasajiliwa soko la hisa

Waulize tu mumesajiliwa soko la hisa ili niwekeze hisa zangu?

Wengi wametapeliwa mara sijui wekeza kwenye kuku,vanilla sijui shamba umwaligiliaji rufiji nk usiwekeze kwenye kampuni inayojitangaza tu isiyokuwa soko la hisa .ukisikia wekeza shilingi hizi utavuna mara kumi uliza tu mumesajiliwa soko la hisa? wakisema hapana achana nao
Chini ya ccm utapeli unazidi kutamalaki
 
Eti kilo milion moja yaani imekuwa dhahabu au tanzanite

Wabongo wanatapeliwa kirahisi Sana.
Mkuu ni kweli kilo moja 1M lkn shida ipo kwenye kukidhi izo grade za 1M maana Vanilla sio poa kuanzia kwenye pollination inaitaji artificial pia ikipata stress tuu inapelekea flowering abortion pia kwenye swala la kuvuna na utunzaji kwa sio rahisi maana ikipungua tuu grade sio rahisi lkn ukiweka jitiada kila kitu kinawezekana
 
Binafsi nilimpigia huyo jamaa wa Vanila international nikamwambia kuwa nina tani moja ya vanila nimpeleekee .

Akanijibu kuwa kwa sasa hashughulikii na ununuzi na hawajaanza kununua ndiyo nikajua kuwa ni matapeli.
Ha ha ha tapeli huyo
 
Yaani Dealer wa madini hataki kununua madini.
 
Eti kilo milion moja yaani imekuwa dhahabu au tanzanite

Wabongo wanatapeliwa kirahisi Sana.

Mkuu katika soko la mataifa hiyo ndio bei yake ila mpaka ifike huku Ulaya
Mimi binafsi nanunua ya Madagascar Na bei zake ziko juu sana ila kama ukiangalia wanaouza kwenye mitandao ndio bei zake hizo 1m
IMG_2926.jpg
 
Mkuu ni kweli kilo moja 1M lkn shida ipo kwenye kukidhi izo grade za 1M maana Vanilla sio poa kuanzia kwenye pollination inaitaji artificial pia ikipata stress tuu inapelekea flowering abortion pia kwenye swala la kuvuna na utunzaji kwa sio rahisi maana ikipungua tuu grade sio rahisi lkn ukiweka jitiada kila kitu kinawezekana
Nilisikia siku moja redioni kuhusu hilo, kwamba eti kumbe pollination yake haitegemei Wadudu au upepo kama mimea mingine...kwamba unatakiwa Mkulima mwenyewe ufanye timing ndio uwezeshe pollination.

Nilibaki njia panda ila nikajiuliza ndio Mungu alivyokusudia au kuna mahali tu sisi Binaadamu tunakosea ndio maana inalazimu kufanya hivyo?.

Any way vyovyote iwavyo ni zao linalohitaji umakini mkubwa mpaka kuvuna....na isingikuwa uhitaji wake upo juu Watu wangelipotezea tu kwa kweli.
 
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe

šŸ“Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali Inaendelea kufuatilia jambo hii kwa Kina. Aidha kwa wale ambao tayari wamewekeza waweze kufika kwa RPC wa Mkoa wa Njombe kama ambayo Mheshimiwa RC ameagiza ili kujihakiki majina yao.

Nitoe wito kwa wananchi ambao wanakusudia kuwekeza kusubiri kwanza kuendelea na uwekezaji huu uliopo hadi pale serikali itakapojiridhisha ili kuepusha migogoro au sintofahamu ya aina yoyote inayoweza kujitokeza kwa wananchi.

šŸ“Kazi inaendelea
Picha zinaelezea ziara ya leo nilipoongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama kwenda kufanya ukaguzi wa eneo maarufu lililowekezwa Vanilla wilayani Njombe.
Wewe ni mgeni labda vanilla inalipa Ina pesa ndefu hata kabla ya ujio wa hamasa hii.
Uliza kagera.
Madagascar mashamba ya vanilla yanalindwa na bunduki ndo ujue pesa ipo.
Ilikuwa ni jukumu la serikali kuwaunganisha wakulima na masoko.
 
Usikubali kuwekeza popote kama fursa inayotangazwa kampuni haijasajiliwa soko la hisa

Waulize tu mumesajiliwa soko la hisa ili niwekeze hisa zangu?

Wengi wametapeliwa mara sijui wekeza kwenye kuku,vanilla sijui shamba umwaligiliaji rufiji nk usiwekeze kwenye kampuni inayojitangaza tu isiyokuwa soko la hisa .ukisikia wekeza shilingi hizi utavuna mara kumi uliza tu mumesajiliwa soko la hisa? wakisema hapana achana nao
Hii inaweza kuwa ushauri mzuri sana ...
 
Back
Top Bottom