🚮Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.
Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.
Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.
Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
Paul Kimiti na uzee wako wote ni kweli Tanzania ilipata uhuru 9th-December? Kazi nyingine achieni wajukuu zenu.Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.
Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.
Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.
Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
Huyu sasa ndiye anamvunjia Nyerere heshima na siyo waandamanaji. Anyways, wazee wengi waliokuwa CCM wanaogopa mabadiliko ya CCM kuondolewa kwa sababu wana watoto na wajukuu kwenye mifumo ya uongozi. Hata wao wamezoea kula vya kunyonga, wakiugua wanapelekwa kutibiwa na CCM hivyo wanaogopa mabadiliko. Tuwahakikishie kuwa hakuna visasi ila sheria itachukuwa mkondo wake kwa wauaji wa siku za uchaguzi.Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.
Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.
Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.
Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Mkuu hawa wana watoto na wajukuu kwenye uongozi na wengi wameingia kwa kutumia majina ya wazazi wao hivyo wanaogopa mabadiliko yatayoondoa upendeleo kwa vijana wao.Vipi kuhusu waoteka, kuwaua, kuwafira na kuwafungulia kesi za uongo Watanganyika? Hawa wanamfanyia nini Mwl. Nyerere?
Hawa wazee wajifunze kukaa kimya. Hii nchi upumbavu na uoga ulishakoma Oktoba 29.
Anatafuta ulaji wa vijana wake wakumbukwe kwenye teuzi za nduliMwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.
Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.
Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.
Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Daah! Pole kumbe ulifirwa! Shida nini au na wewe uliitukana serikali mitandaoni bila fake ID nini! Kwa hiyo inakuwaje maana nasikia malinda yakishatoka hayarudi ng'oooVipi kuhusu waoteka, kuwaua, kuwafira na kuwafungulia kesi za uongo Watanganyika? Hawa wanamfanyia nini Mwl. Nyerere?
Hawa wazee wajifunze kukaa kimya. Hii nchi upumbavu na uoga ulishakoma Oktoba 29.
Yaani hawa wazee siku hizi wanakubaki kununuliwa na Abdul na ChamiaMwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.
Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.
Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.
Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Ndio na sikia machawa sikiuzi mfirwa ili mpate teuzi uchawa pekee hautoshi imebidi mjiongezeDaah! Pole kumbe ulifirwa! Shida nini au na wewe uliitukana serikali mitandaoni bila fake ID nini! Kwa hiyo inakuwaje maana nasikia malinda yakishatoka hayarudi ng'ooo
Kama ulipata zero au four ya BRN na unataka maisha ya mshahara Kwa nini usifirwe ....sasa Mimi na vyeti vyangu clean naanzaje kuchoma Mali za umma? Mliambiwa someni walau mtoe ujinga mlikuwa busy kutomba.Ndio na sikia machawa sikiuzi mfirwa ili mpate teuzi uchawa pekee hautoshi imebidi mjiongeze
Hapana machawa ndo mlipata zero mnataka ajira kwa uchawa tu sasa mmeona uchawa hautoshi mmea mfirwe kabisaKama ulipata zero au four ya BRN na unataka maisha ya mshahara Kwa nini usifirwe ....sasa Mimi na vyeti vyangu clean naanzaje kuchoma Mali za umma? Mliambiwa someni walau mtoe ujinga mlikuwa busy kutomba.
Ila nashukuru Ile mo29 mlipata message. Inaitwa mwana ukome mnalambwa njugu halafu maiti zote zinaokotwa no ushahidi kuachwa barabarani 🤣🤣🤣 na mkirudia tena tarh 9 mwendo ni uleule...kenge huwa hasikii mpaka masikio yatoke damu.Hapana machawa ndo mlipata zero mnataka ajira kwa uchawa tu sasa mmeona uchawa hautoshi mmea mfirwe kabisa
Na ninakumbuka hela za Epa alikula 50mYaani hawa wazee siku hizi wanakubaki kununuliwa na Abdul na Chamia