PostGE2025 Kimiti: Kuandamana siku ya Uhuru ni kumvunjia heshima Mwalimu J.K Nyerere

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
TOKA MAKTABA
Inataneti 202329 September

NYERERE ASIFIA VIJANA WALIOCHAJIZA KUTAKA KWENDA KTK MAPAMBANO

View: https://m.youtube.com/watch?v=5GyCni_gsm8
Mchango wa Tanzania katika ukombozi wa nchin za kusini mwa Afrika ikijumuisha Msumbiji ni zaidi ya vile ulivyoweza kufikiri! Mwalimu anaeleza namna Watanzania walivyokua wanaisaidia Msumbiji sio kwa Mali peke yake bali hata kwa Hali kwa kuchangia Damu kwa kupigania Uhuru wa Msumbiji chini ya Chama cha FRELIMO, Kumbukumbu hizi sio tu zinatupa kuelewa harakati za Ukombozi bali zinatujenga zaidi kuhusu udugu na umoja katika Afrika.
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Waingereza wamekaa Tanganyika miaka 40, CCM wamekaa miaka 64 Tanganyika kama walivyosema Waingereza kuwa bado hatuna uwezo wa kujitawala, CCM nayo inasema kuwa bado GenZ hawawezi kuandamana kudai utawala mpya

TOKA MAKTABA:
2024 3 September
Hotuba ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere Mwaka 1958, Jangwani DSM iliyoamsha vuguvugu la kudai uhuru SEHEMU YA PILI Ni hotuba ya Baba wa Taifa ya Mwaka 1958 ukisikiliza utajua kwanini tulidai uhuru wetu kutoka kwa Waingereza kwa jazba. Historia ndio kiini na msingi wa uzalendo kwa Waafrika

View: https://m.youtube.com/watch?v=sTgzcSymRYU
 
Ila nashukuru Ile mo29 mlipata message. Inaitwa mwana ukome mnalambwa njugu halafu maiti zote zinaokotwa no ushahidi kuachwa barabarani 🤣🤣🤣 na mkirudia tena tarh 9 mwendo ni uleule...kenge huwa hasikii mpaka masikio yatoke damu.
Hapana message mmeipata maana nyie machawa maana nasikie wengi mshatoa matako harafu teuzi wamepewa wazenji na bado mpaka muoze huko nyuma
 
Hawa wazee ambao wamekuwa kimya muda wote wa utekaji na mauaji yakitokea nchini ni wa kuwafungia vioo.
 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.

Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.

Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.

“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.

Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Ila kuiba uchaguzi sio kumvunjia heshima🤣
 
Video yake akikemea utekaji, mauaji, wizi na ufisadi ipo?
 
Huyu naye vipi; katembelewa na Bw. Abdula?

Kwani hela ya sanda hana?

Hawa wazee wapumbavu hata haieleweki wanataka nini mbali ya kupewa chochote waropoke tu kama wanavyofanya sasa..

Utamhusisha vipi Mwalimu Nyerere na uovu huu unaofanywa dhidi ya waTanzania?
 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.

Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.

Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.

“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.

Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Hata Wapumbavu pia huzéeka.
 
Mzee Kimiti kimekukuta nini kwani? Nakumbuka ukiwa Mbeya RC kwenye hotuba ya Nyerere Uwanja wa Sokoine pale ulikuwepo.. kweli unaamini hawa walioko Ikulu sasa Nyerere angewapa mkono wa pongezi kwa kusimamia utu, haki za binadamu, na Utanzania wetu? Seriously?
 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.

Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.

Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.

“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.

Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Huyu naye ku";*-#&$)('!";##++%©®✓¢€}√ו÷`πzake.

Kuua over 10,000 ndiyo kumjenga Nyerere? Stupid burger!
 
Wanaomvunjia Nyerere heshima ni wale wote wanaoenenda kinyume na misingi ya uongozi aliyotuachia mwl Nyerere. Period!
 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili.

Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si vyema kufanya maandamano hayo kwa kuwa tarehe hiyo ina historia kubwa katika Taifa.

Mwanasiasa huyo mkongwe, ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 7, 2025 wakati akizungumza na wanahabari nyumbani kwake Ununio kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.

“Desemba 9 ni siku ya kuomba na kushukuru Mungu ya kwamba tunalinda uhuru, umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Tuendelee kumuomba Mungu huko aliko na Mwalimu (Nyerere) atatuombea,” amesema Kimiti.

Wakati Kimiti akitoa rai hiyo, tayari polisi limeshatangaza kupiga marufuku maandamano hayo yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, ikisema yamekosa nguvu ya kisheria kufanyika ikiwemo wahusika kutotoa taarifa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
View attachment 3512674
Chanzo: Mwananchi
Wote wanao mkinga Çhamia Chuluhu, hawafanyi kazi hiyo bule, Bali nao kuna mapande ya nyama wanarushiwa au hisa Mahali iwe dipiweldi, adani n.k
 
Daah! Pole kumbe ulifirwa! Shida nini au na wewe uliitukana serikali mitandaoni bila fake ID nini! Kwa hiyo inakuwaje maana nasikia malinda yakishatoka hayarudi ng'ooo
Kwa huu upuuzi wenu jueni tu mwisho wenu umekaribia.

Akili zenu zinawaza ushenzi tu.
 
Ila nashukuru Ile mo29 mlipata message. Inaitwa mwana ukome mnalambwa njugu halafu maiti zote zinaokotwa no ushahidi kuachwa barabarani 🤣🤣🤣 na mkirudia tena tarh 9 mwendo ni uleule...kenge huwa hasikii mpaka masikio yatoke damu.
Aisee nina hamu kesho kutwa waanzwe mapema sana yaani wakitoka tu hata 10 walale wote asipone mtu mpaka Mange na Maria warudishe hela
 
Awa wazee nao wamekazana kutudanganya
Lini na wapi Tanzania ilipata uhuru wake Tar 9/12?
 
Back
Top Bottom