PostGE2025 Kimiti: Kuandamana siku ya Uhuru ni kumvunjia heshima Mwalimu J.K Nyerere

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wale wazee walikuwa wanahutubiwa alikuwepo
 
CCM ilianza kumvunjia heshima kingali yuko hai,sembuse amekufa?
 
Mzee Paul Peter Kimiti tunakuheshimu sana punguza kutukwaza.
 
unajua elfu 23 wewe? acha ujinga waliokufa wengi wahuni na majambazi, nasema wengi sio wote
 
Kuna ubaya gani ukipatikana uhuru wa pili, kwa mnza ndio vizuri, siku za uhuru zitakuwa hazitofautianišŸ˜‚šŸ¤£
 
Katika zile billioni za Rugemalira na kundi lao hakuwemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…