Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mama yako ni mwanamkewenzetu waagharibi bhana!! tayari huyo keshageuka akili anatumia za kike!!
Wajinga hao..hata mama yako ni mwanamke
Haaaaaa marekani kwa mwaka bajeti ya jeshi lake ni $760b wakati Russia Ni $65b marekani ameipa Ukrein zaidi ya $40b yaani 70% ya bajeti ya Russia kijeshi[emoji3]Russia [emoji635] hapigani na Ukraine [emoji1255] only bali na mataifa ya ulaya plus USA [emoji631]
Jiulize misaada ya finance and silaha anazopata Ukraine kutoka mataifa ya ulaya na USA ni sawa na asilimia ngapi ya jeshi la marekani
Lakini kichapo Bado kinaendelea.poleni UkraineHaaaaaa marekani kwa mwaka bajeti ya jeshi lake ni $760b wakati Russia Ni $65b marekani ameipa Ukrein zaidi ya $40b yaani 70% ya bajeti ya Russia kijeshi[emoji3]
Ondoa neno NGURI WA VITA,Nguri wa vita ADMIRAL RADAKIN kutoka nchini Uingereza ambaye pia ni mkuu wa majeshi amesema kuwa Klemlin imeshindwa vita kimkakati. Amesema kuwa Klemlin imetumia 25% ya nguvu zake na kupata ushindi kiduchu usiendana na rasilimali alizotumia.
Ameeleza kuwa Klemlin inaendelea kupungukiwa na wanajeshi pamoja na makombora ya kisasa hivyo uwezekano wa yeye kuikamata Ukraine ni ndoto.
FUATILIA HAPA
==========
Neil Pooran and Sami Quadri
Russia has ‘strategically lost’ war in Ukraine, says head of UK’s armed forces
The head of the UK’s armed forces says Russia has already “strategically lost” the war in Ukraine and is now a “more diminished power”.
Admiral Sir Tony Radakin said Vladimir Putin had used around 25 per cent of his army’s power for only “tiny” gains.
While Russia may achieve “tactical successes” in the coming weeks, he said any notion that the war had been a success was “nonsense”.
Admiral Radakin, who is the UK’s chief of defence staff, said Russia was running out of troops and advanced missiles and would never be able to take over all of Ukraine.
Admiral Radakin spoke to the PA news agency as he visited Scotland on Wednesday, where he met soldiers at Edinburgh Castle.
He said: “This is a dreadful mistake by Russia. Russia will never take control of Ukraine.
“Russia has strategically lost already. NATO is stronger, Finland and Sweden are looking to join.”
He said Russia had been forced to give up its objectives of taking over most Ukrainian cities and was now engaged in a tactical battle where fighting is “tough”.
Admiral Radakin said: “The Russian machine is grinding away, and it’s gaining a couple of – two, three, five – kilometres every day.
“And that’s tough for Ukraine, but this is going to be a long fight. And we’re supporting Ukraine, Ukraine has shown how courageous it really is.
“And Russia has vulnerabilities because it’s running out of people, it’s running out of high-tech missiles.”
He continued: “President Putin has used about 25% of his army’s power to gain a tiny amount of territory and 50,000 people either dead or injured.”
Russia is now a “more diminished power” diplomatically and economically than several months ago, he said.
The chief of defence staff continued: “Any notion that this is a success for Russia is nonsense. Russia is failing.
“It might be getting some tactical successes over the last few weeks. And those might continue for the next few weeks.
“But Russia is losing strategically.”
Admiral Radakin said he was in touch with his Ukrainian counterpart, General Valerii Zaluzhnyi, who recognised that they were in a “tough battle” in the east.
Admiral Radakin said: “They’re courageous people.
“They’re ingenious people in terms of how they’re taking the fight to the Russians.
“But they’re also honest people, with saying actually they need some help.”
He said the UK would continue its support for Ukraine and “we’re in this for the long haul”.
Earlier this week, Ukrainian presidential adviser Mykhailo Podolyak called on the West to help his country achieve “heavy weapons parity” with Russia in the war – calling for more heavy artillery, rocket systems and vehicles.
Admiral Radakin said he was “wary” of phrases like parity as no single capability would determine the outcome of the war.
The UK is providing MLRS rocket systems and has just delivered 120 armoured fighting vehicles, he said.
He said: “We’ve been providing anti-tank weapons, there are other elements that we’re providing and that will continue.
“But it’s the mass that’s provided by the whole of the international community – and it’s putting that alongside the courage and the resolve of the Ukrainian armed forces to fight for their territory.
“That is where the real parity lies, and where the real strength of Ukraine lies.”
ukute humfaham ila upo hapa kubwabwaja maneno , mahaba ndo yanafanya waafrika tusipige hatuaNguri wa vita am ambaye hajawahi kushinda vita yeyote.
ulikuepo mkuu ?Ata vita ya Finland waliongea Aya aya kuwa Rusia kashindwa wakati vipande vya ardhi vilichukuliwa na hakuna walichofanya kweli west ni vichaa
we jamaa ni katuni kwelRussia [emoji635] hapigani na Ukraine [emoji1255] only bali na mataifa ya ulaya plus USA [emoji631]
Jiulize misaada ya finance and silaha anazopata Ukraine kutoka mataifa ya ulaya na USA ni sawa na asilimia ngapi ya jeshi la marekani
kwahiyo unashabikia uvamiz ?Kiuhalisia russia hapigani na Ukraine pekee.
Kuna MATAIFA zaidi ya 30 yanatuma silaha na kupelekea mamluki wengi Ukraine, uingereza nae ikiwemo.
Kwa tafsiri nyepesi,
Russia anapiga mtu, mjomba wake, mashoga zake, wakwe na mashemeji zake wote.Yaani anasafisha ukoo wote wa panya.
Uyu mtu (Russia) sio wa kubeza hata kidogo, sio wa mchezo mchezo ukizingatia mpaka Sasa keshatumia 25% ya silaha zake zote.
Wakati hapo hapo yapo mataifa mamluki yameshaishiwa hata silaha za kutuma Tena Ukraine (Poland,german,japan),
Wengine juzi juzi TU wamedai wameshaishiwa javellin za kutuma Tena Ukraine (uingereza).[emoji4]
Unabaki kujiuliza,
Vipi Sasa angeamua kutumia 50% TU ya silaha zake dhidi ya Ukraine na washirika wake, hali zao kijeshi zingekuaje?
Hamna uvamizi ni Opareshen tokomeza MAGAIDIkwahiyo unashabikia uvamiz ?
Kama ni hivyo basi itakuwa wanajeshi wengi wa marekani ni mashoga, kwa bajeti hiyo haiwezekani wakashindwa na watelibani kwa muda wote waliokaa Afghanistan tena wakisaidiwa na NATO. Au labda gharama kubwa inatumika kugharamia mameri yao ya kubebea ndege ambayo kwasasa hayana tija yoyote ileHaaaaaa marekani kwa mwaka bajeti ya jeshi lake ni $760b wakati Russia Ni $65b marekani ameipa Ukrein zaidi ya $40b yaani 70% ya bajeti ya Russia kijeshi[emoji3]
SawaNaunga mkono hoja 100%., tathmini ya kawaida tu ambayo hatiki kuchokonoa kote huko ni kwamba Russia aliplan kwa saa 72 tu atakuwa ameuwa mzigo Ukraine lakini sasa ni mwezi 5 unaingia na baada ya kuona kwa saa 72 amefeli akasema plane yake ni miezi 6 sasa bado mwezi 1 kutimia miezi 6 na bado hakuna mwanga wowote wa mafanikio ni buttle kwa upande.
Marekani walikuja na bajeti ya miaka 5., sasa ni wazi Russia hataweza muda wote huo ku exists maana atakuwa hana bajeti plus vikwazo alivyowekewa
Kuingilia kwenu NATO mmesababisha uhalibifu mkubwa sana Ukraine na bado Russia anakwenda vizuri kama alivyo planNaunga mkono hoja 100%., tathmini ya kawaida tu ambayo hatiki kuchokonoa kote huko ni kwamba Russia aliplan kwa saa 72 tu atakuwa ameuwa mzigo Ukraine lakini sasa ni mwezi 5 unaingia na baada ya kuona kwa saa 72 amefeli akasema plane yake ni miezi 6 sasa bado mwezi 1 kutimia miezi 6 na bado hakuna mwanga wowote wa mafanikio ni buttle kwa upande.
Marekani walikuja na bajeti ya miaka 5., sasa ni wazi Russia hataweza muda wote huo ku exists maana atakuwa hana bajeti plus vikwazo alivyowekewa
Putin hajali maisha ya askari wake, ripoti zaonyesha kila saa 24 Russia hupoteza askari 250, ni jambo baya kwa Putin kama vita itaendelea muda mrefu.,Kuingilia kwenu NATO mmesababisha uhalibifu mkubwa sana Ukraine na bado Russia anakwenda vizuri kama alivyo plan