Kimkakati, Urusi imeshindwa vita ya Ukraine

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]The DPR and Iran signed an agreement at the SPIEF, according to which Iran will supply the republic with construction and fruit and vegetable products, Pushilin said[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Russia [emoji635] hapigani na Ukraine [emoji1255] only bali na mataifa ya ulaya plus USA [emoji631]
Jiulize misaada ya finance and silaha anazopata Ukraine kutoka mataifa ya ulaya na USA ni sawa na asilimia ngapi ya jeshi la marekani
Haaaaaa marekani kwa mwaka bajeti ya jeshi lake ni $760b wakati Russia Ni $65b marekani ameipa Ukrein zaidi ya $40b yaani 70% ya bajeti ya Russia kijeshi[emoji3]
 
Hivi Hawa watu was ulaya sometime hawaoni hata aibu kutudanganya? Hivi sio wao waliosema Russia ataishiwa na msosi vitani kabla ya siku 7 TU za operation?
Si wao waliotuambia Russia Inatumia makombora ya kizamani?lakini ajabu watu wanazidi Kwisha.kwa silaha Kama TOS Russia hawaui wanachokifanya Ni annihalation.
Eti Leo wanatudanganya Ukraine wanashinda!
Hivi mnatuonaje hadhira?
 
Hajaskia Shoga yake zelensky anaomba dunia iungane ikamsaidie maana kaona mziki mzito
 
Ondoa neno NGURI WA VITA,
 
Ata vita ya Finland waliongea Aya aya kuwa Rusia kashindwa wakati vipande vya ardhi vilichukuliwa na hakuna walichofanya kweli west ni vichaa
ulikuepo mkuu ?
 
Russia [emoji635] hapigani na Ukraine [emoji1255] only bali na mataifa ya ulaya plus USA [emoji631]
Jiulize misaada ya finance and silaha anazopata Ukraine kutoka mataifa ya ulaya na USA ni sawa na asilimia ngapi ya jeshi la marekani
we jamaa ni katuni kwel
 
kwahiyo unashabikia uvamiz ?
 
Haaaaaa marekani kwa mwaka bajeti ya jeshi lake ni $760b wakati Russia Ni $65b marekani ameipa Ukrein zaidi ya $40b yaani 70% ya bajeti ya Russia kijeshi[emoji3]
Kama ni hivyo basi itakuwa wanajeshi wengi wa marekani ni mashoga, kwa bajeti hiyo haiwezekani wakashindwa na watelibani kwa muda wote waliokaa Afghanistan tena wakisaidiwa na NATO. Au labda gharama kubwa inatumika kugharamia mameri yao ya kubebea ndege ambayo kwasasa hayana tija yoyote ile
 
Naunga mkono hoja 100%., tathmini ya kawaida tu ambayo hatiki kuchokonoa kote huko ni kwamba Russia aliplan kwa saa 72 tu atakuwa ameuwa mzigo Ukraine lakini sasa ni mwezi 5 unaingia na baada ya kuona kwa saa 72 amefeli akasema plane yake ni miezi 6 sasa bado mwezi 1 kutimia miezi 6 na bado hakuna mwanga wowote wa mafanikio ni buttle kwa upande.

Marekani walikuja na bajeti ya miaka 5., sasa ni wazi Russia hataweza muda wote huo ku exists maana atakuwa hana bajeti plus vikwazo alivyowekewa
 
Sawa
 
Kuingilia kwenu NATO mmesababisha uhalibifu mkubwa sana Ukraine na bado Russia anakwenda vizuri kama alivyo plan
 
Kuingilia kwenu NATO mmesababisha uhalibifu mkubwa sana Ukraine na bado Russia anakwenda vizuri kama alivyo plan
Putin hajali maisha ya askari wake, ripoti zaonyesha kila saa 24 Russia hupoteza askari 250, ni jambo baya kwa Putin kama vita itaendelea muda mrefu.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…