chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Chadema wanataka kupika ugali kabla maji hayajachemka. Kesi ya Lissu leo ni kipimo tosha kwamba ajenda yao si ajenda ya wananchi.
Hata ukifuatilia mikoani, wanaolia na no reform-no election ni watu watatu tu, Liasu, Heche na Lemma. Viongozi wengine mikoani na wilayani na vijijini walaaaa.
Kimsingi, wananchi wanaridhika na hali ya uongozi wa nchi ndio maana wanawashangaa watu wanaoimba No reform-No election.
CCM wanaimba mboleo, na ndio shida ya wananchi, elimu, ndio shida ya wananchi, barabara, ndio shida ya wananchi, maji, ndio shida ya wananchi.
Ajenda ya CHADEMA imejikita katika kutaka kiu yao ya madaraka itimie. Tone tone yote haijaongelea shida ya mwananchi Bali ni namna gani Lissu aingie madarakani.
Kwa sasa nchi haiko tayari kwa ajenda ya chadema. Imekuja kabla ya wakati wake, wakati ukuta