Kimsingi, wananchi wanaridhika na hali ya uongozi wa nchi ndio maana wanawashangaa watu wanaoimba No reform-No election

Kimsingi, wananchi wanaridhika na hali ya uongozi wa nchi ndio maana wanawashangaa watu wanaoimba No reform-No election

Chadema wanataka kupika ugali kabla maji hayajachemka. Kesi ya Lissu leo ni kipimo tosha kwamba ajenda yao si ajenda ya wananchi.

Hata ukifuatilia mikoani, wanaolia na no reform-no election ni watu watatu tu, Liasu, Heche na Lemma. Viongozi wengine mikoani na wilayani na vijijini walaaaa.

Kimsingi, wananchi wanaridhika na hali ya uongozi wa nchi ndio maana wanawashangaa watu wanaoimba No reform-No election.

CCM wanaimba mboleo, na ndio shida ya wananchi, elimu, ndio shida ya wananchi, barabara, ndio shida ya wananchi, maji, ndio shida ya wananchi.

Ajenda ya CHADEMA imejikita katika kutaka kiu yao ya madaraka itimie. Tone tone yote haijaongelea shida ya mwananchi Bali ni namna gani Lissu aingie madarakani.

Kwa sasa nchi haiko tayari kwa ajenda ya chadema. Imekuja kabla ya wakati wake, wakati ukuta
Angalia usije ukakojoa kitandani, amka kutoka usingizini
 
Ukute upo Mbwinde Hujui hata kama mkono wa kulia ukivuka ubungo junction kuna kituo cha mafuta
Niko mitaa ya sinza, nilifanya patrol nikajiridhisha hali ni shwari
 
Polisi mliweka kuanzia ubungo junction,magomeni,Tazara nk mbwa nyie

Wengine mmewabeba kwa gari mkaenda kuwapeleka wapi sijui

Wangefikaje mahakamani?
Umeambiwa mikoani watu hawataki lakini pia kisutu Jana hapakuwa na dalili yeyote ya ajabu. Hii inaonesha dhahiri kampeni ya no reform no election ni tamu kuitamka mdomoni tu lakini kiukweli kabisa wana CDM wenyewe hawajaipokea vizuri. Inabakia kwa wafia dini na genge la wapigaji wa tone tone ku exaggerate athari za vipigo vya polisi. Jamii hii ya watanzania haina huo ushamba sijui kwa Nini nyumbu hamuelewi aisee
 
Watanzania ni waoga tu ndiyo maana huyu kichaa aliyerithishwa urithi pale magogoni anaendelea kutamba kusigina uhuru wa vyama vya siasa.Lakini dawa yake inachemka ya kumwajibisha.
 
Je hizi mbinu za Polisi zitavumiliwa na Watanzania hadi lini?

Au mpaka raisi wa Yanga akikamatwa na kudhalilishwa ndio Watanzania wataamka?
Hatuna shida na serikali iliyopo sisi inatosha muhimu yetu yanaenda sidhani boni yai kama kapigwa ni vile yy ana la kufanya nyie kaz yenu propaganda tafteni kitu mufanye mpate riziki hyo ndio polisi Tanzania they respond before sparking heko igp
 
Ni tume huru ya uchaguzi tu ndio itakayoleta majibu
 
Chadema wanataka kupika ugali kabla maji hayajachemka. Kesi ya Lissu leo ni kipimo tosha kwamba ajenda yao si ajenda ya wananchi.

Hata ukifuatilia mikoani, wanaolia na no reform-no election ni watu watatu tu, Liasu, Heche na Lemma. Viongozi wengine mikoani na wilayani na vijijini walaaaa.

Kimsingi, wananchi wanaridhika na hali ya uongozi wa nchi ndio maana wanawashangaa watu wanaoimba No reform-No election.

CCM wanaimba mboleo, na ndio shida ya wananchi, elimu, ndio shida ya wananchi, barabara, ndio shida ya wananchi, maji, ndio shida ya wananchi.

Ajenda ya CHADEMA imejikita katika kutaka kiu yao ya madaraka itimie. Tone tone yote haijaongelea shida ya mwananchi Bali ni namna gani Lissu aingie madarakani.

Kwa sasa nchi haiko tayari kwa ajenda ya chadema. Imekuja kabla ya wakati wake, wakati ukuta
Kabisa now nipo shamba nakula mihogo
 
Back
Top Bottom