KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao.
Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama chochote lakini kwa watumishi wa Umma Nina mtazamo tofauti.
Mtumishi wa Umma ni mwajiriwa wa Serikali na serikali inatokana na Chama kupitia uchaguzi. Hivyo ikishinda CCM maana yake ni Serikali ya CCM na CCM ndio inatoa miongozo kwa Serikali.
Baada ya uchaguzi, mtumishi wa Umma ana wajibu wa kuisaidia serikali ya CCM ambayo ni CCM. Na utumishi wake ni kuhakikisha serikali inafanya Yale yaliyoahidiwa na kunadiwa.
Sasa katika hili, mtumishi anaposhindwa kuichagua CCM anakuwa katenda kosa la usaliti kwa sababu anaeleza haiamini CCM na ikiwa alikuwa mmojawapo wa waliotakiwa kusaidia serikali ya CCM kufanya vema ila kwa watumishi wanaopigia kura CCM wanalitendea haki Taifa.