Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

Picha za shaaban Djuma za usajili zimevuja kuanzia mwezi wa 6 ,huu mwezi wa 9 Kama siyo uzembe ni nini,wanahangaika na simba na bla bla za manara Hadi wanajisahau
 
Hela yote walizouza jezi msimu huu wakamalizie madeni ya Djuma na Bangala,gsm hawezi kukubali.
Wasisingizie ITC kuchelewa ,Kama ni usajili wamemaliza mapema ,Kama Shaban Djuma ndo usajili wa kwanza ,hapa ni kwamba wamesajili ila vilabu walikotoka wanataka chao ili watoe vibali,Yanga wana historia ya kudhulumu wachezaji sasa hivi hamna anayewaamini ni cash tu hamna mkopo.
 
Kwa hiyo Bumbuli humwaminj tena?
 
Nyie mikia si tulikubaliana wachezaji wanaotoka as vita ni wa mkopo!pesa gani tena jamani inayodaiwa Yanga!? 🤷‍♂️
 
Picha za shaaban Djuma za usajili zimevuja kuanzia mwezi wa 6 ,huu mwezi wa 9 Kama siyo uzembe ni nini,wanahangaika na simba na bla bla za manara Hadi wanajisahau
Fuatilia sasa hivi wanavyohangaika. Manara baada ya kugundua ni njaa inamsumbua hata aongee vipi hakuna jipya.
 
umesahau kumweka mama j
 
Fuatilia sasa hivi wanavyohangaika. Manara baada ya kugundua ni njaa inamsumbua hata aongee vipi hakuna jipya.
Sasa manara ataongea nini kipya ?Sasa hivi hata Press yake imesuswa wanajua hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…