changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ulivyokuja lesi kukanusha kitu ambacho kipo wazi. Pole sana imeisha hiyo.Siyo mimi mkuu ,usijisumbue huko hata huyo siyo mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyokuja lesi kukanusha kitu ambacho kipo wazi. Pole sana imeisha hiyo.Siyo mimi mkuu ,usijisumbue huko hata huyo siyo mimi
Sasa hata Kama ni mimi inakusaidia niniUlivyokuja lesi kukanusha kitu ambacho kipo wazi. Pole sana imeisha hiyo.
Hii comment nimeiona twiter kwa privadinyoPicha za shaaban Djuma za usajili zimevuja kuanzia mwezi wa 6 ,huu mwezi wa 9 Kama siyo uzembe ni nini,wanahangaika na simba na bla bla za manara Hadi wanajisahau
Sasa si wana mtu makini sana Senzo au hahusiki na haya mambo!Yanick Bangala Litombo,Shaban Djuma,Khalid Aucho CAFCL watachoma mahindi.hii ndo maana ya Yanga kuitwa manyani f.c.
Hadi Instagram kwenye page ya YangaHii comment nimeiona twiter kwa privadinyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hadi Instagram kwenye page ya Yanga
Utoto ndo mnatapatapa mpaka mnasahau vitu muhim kama ITCza wachezaji muhim kabsa huo si ungese kabsaMnatapatapa mikia,hamjui hata mshike lipi
Jiandae kisaikolojia,si rahisi kihivyo na ukumbuke Yanga ni timu kubwa ina CEO wa kimataifa na matajiri wanaojielewa siyo wale wanaodanga na jushi da mitandaoni.Bingwa wa hamasa Duniani H.Manara anazungumza na wanahabari leo jumatano,saa 6 mchana.Stay tuned
Usijali mkuu, The return of champions Jumapili wale Wanigeria wanapigwa nyingi sana
eti big mindUsijali mkuu, The return of champions Jumapili wale Wanigeria wanapigwa nyingi sana
Halafu hiyo ni mind game tu, utashuhudia hiyo j pili hao wachezaji wanakichafua pale kwa mkpa
Jiulize kuhusu Moloko na Bangala, hawa ndo wachezaji wa mwisho kusajiliwa na kwanini ITC zao zimekuja mapema wakati Mayele na Djuma na Aucho waliosajiliwa mwanzo ITC zao ndo zichelewe
Big mind ndo wataelewa hii issue
Hana mvuto na ulimcheki akibwabwaja??Manara yupo anabwabwaja tu humo. Kiukweli hana mvuto tena.
Teh teh hawa jamaa ni mapimbi tena yaliyotukuka yaani kutwa wanahangaika na Simba iliyokamili kila sekta wakati wao mlango upo wazi na viongozi wa Yanga wameshajua mashabiki wa hii timu ni watu wa upepo wakiletewa Koffi Olomide na wakata viuno wa Kongo kwenye timu watasahau kila kitu sasa angalia wameshapigwa na kitu kizito wafwaaaaaaaaahView attachment 1929129
Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ).
Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana na Yanga kutokamilisha malipo ya ada ya usajili.
Sio maneno yangu ni maneno ya Mchumia Tumbo