Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Ndo hayo sasa matokeo yake ya kufuata mikumbo isiyo na maana.Mimi naonaga ni kufuata mkumbo tuu!
Ila na wewe jitahidi next year tufungue kurasa zingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hayo sasa matokeo yake ya kufuata mikumbo isiyo na maana.Mimi naonaga ni kufuata mkumbo tuu!
DaaahhhNdo hayo sasa matokeo yake ya kufuata mikumbo isiyo na maana.
Kabisa, huna tofauti na jamaa yangu alifanya arusi ya laki tano, mixer na ndafu ya kuku jogoo kuchi miguu mirefu, kwanini ujitie hasara isiyo ya lazima.Hongera kwangu ambaye nilifanya harusi kwa laki 7 na ushee tuu, na life linazidi kuchanja mbuga hapa.
Wapumzike kwa amani, honeymoon wataipata huko huko kwa Muumba wao
Nimeshinda nini tena my lady, my princess, sipendi uwe mnyonge bana, basi nisamehe mimi.Daaahhh
Umeshinda poa lakinii
Mimi tulijichanga ndugu wote hatukutaka kuwapa watu tabu ya kuchanga, na ndio jambo nilikuwa silitaki maana ni usumbufu sana kwa watuKabisa, huna tofauti na jamaa yangu alifanya arusi ya laki tano, mixer na ndafu ya kuku jogoo kuchi miguu mirefu, kwanini ujitie hasara isiyo ya lazima.
Hapana jamanii!Nimeshinda nini tena my lady, my princess, sipendi uwe mnyonge bana, basi nisamehe mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Okeeey, nimeshinda poa kabisa mimi, hivi viswahili bana, sijajua kama umeendeleza kale kasalamu, mana nilishasahau eti, niko nasonga mbele mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaito tutaicheza nyumbani mdogo wangu mzuri mzuri!!Asubutuuu nani atakubali nataka kucheza kwaito mie
Na ku handle with care sana princess, yani we acha tu,😘[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone kwanza jamani!!
Mpaka najiogopa mimi jamani!! [emoji8]Na ku handle with care sana princess, yani we acha tu,[emoji8]
Yani hata mimi sielewi kwanini hivi eti...Mpaka najiogopa mimi jamani!! [emoji8]
Twende zetu jamani!Yani hata mimi sielewi kwanini hivi eti...
Wapi uko tukwende,Twende zetu jamani!