Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ni nyumbani moja kwa moja kwa ule mwendo wako wa kipolisi!Ndo maana nasema hiyo siku nikitoka kanisani ni nyumbani moja kwa moja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nyumbani moja kwa moja kwa ule mwendo wako wa kipolisi!Ndo maana nasema hiyo siku nikitoka kanisani ni nyumbani moja kwa moja!
Msaidizi wa moderator hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772]Moderator unganisha huu uzi, Kuna nyingine tatu za namna hii.
JamaniiNi nyumbani moja kwa moja kwa ule mwendo wako wa kipolisi!
Wapi uko tukwende,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Write your reply...Mimi mwenyewe nasubir haka ka bajeti wanakopanga upande wa baba mkwe wangu na michango kadhaa inayohusu harusi maana wameamua kugharamia kila kitu baada ya Mimi kuwa sina kitu wamenipa ka usimamizi mkuu hivo lazima nikimbie na hzo hela kabinti kao kenyewe sikapendi
Nionyeshe njia PM tukwende huko maeneo, hoping itakuwa mwanzo mzuri kwetu.
Safi sana mwenza, mimi nishasema sitaki watu zaidi ya wazazi na ndugu kadhaa ndoa ikifungwa kila mtu aingie kichochoro chakeNdo maana nasema hiyo siku nikitoka kanisani ni nyumbani moja kwa moja!
Safi sana.....Hongera kwangu ambaye nilifanya harusi kwa laki 7 na ushee tuu, na life linazidi kuchanja mbuga hapa.
Wapumzike kwa amani, honeymoon wataipata huko huko kwa Muumba wao
Kabisaa jamani dearSafi sana mwenza, mimi nishasema sitaki watu zaidi ya wazazi na ndugu kadhaa ndoa ikifungwa kila mtu aingie kichochoro chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uliamua kunikataa eti unataka harusi yenye motorcardes kabisa....
Hii ndio maana halisi ya msiba wa kujitakia...pole yao na iwe fundisho kwa wengine maana wapo wengi wa aina yao, mtu anafanya harusi ya kifahari alafu baada ya hapo anakufa na madeni ya watu. Hakuna haja ya kuuaminisha ulimwengu kuwa una uwezo wa kifedha kwa fedha za mikopo.
Hahahahaha mimi nataka ya baskel ya miti tu mambo yasiwe mengiSi uliamua kunikataa eti unataka harusi yenye motorcardes kabisa....
Hatimaye bajaj zimeua shughuli kiroho safi tu....
Utakuwa juu sana, sehemu zingine bado wanatembea kwa miguu huku shangwe, nderemo, vifijo na vigelegele vikirindima
hiyo kwa ufupi tunaiita harusi ya kifoHii ndio maana halisi ya msiba wa kujitakia...
Nipo ndugu majukumu tu....mie mzima kabisa hofu kwakoAhsante sana ndugu, huwa unapotea sana kama shilingi.
Bila shaka upo mzima wa afya
Hongera kwangu ambaye nilifanya harusi kwa laki 7 na ushee tuu, na life linazidi kuchanja mbuga hapa.
Wapumzike kwa amani, honeymoon wataipata huko huko kwa Muumba wao
Hongera kwangu ambaye nilifanya harusi kwa laki 7 na ushee tuu, na life linazidi kuchanja mbuga hapa.
Wapumzike kwa amani, honeymoon wataipata huko huko kwa Muumba wao