Kimuhemuhe cha Harusi Chaua

Kimuhemuhe cha Harusi Chaua

Walikutana Pipa na mfuniko, watategemea vipi zawadi zilipe madeni ya 179m, chizi peke yake ndio angekuwa na akili kama za kwao.
RIP wanandoa, ila next time waache ujinga, maisha sio rahisi kama walivyodhani.
Kuna next time tena sindiyo wamemaliza? Kuna ndoa nyingine huko tusikokufahamu?
 
Mimi mtu akija kuniomba mchango wa harusi naweza hata nikampiga. This is non sense, hivi mtu unafanyaje kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako? So what? Ili uonekane?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wangu huwa anawauliza..."limetokea ghafla au ulipanga..."huwa anawatoa nduki,anasema ukichangisha kumsaidia mgonjwa,wanakujibu kwani Hana ndugu...?kuchangisha kusaidia ada ya mtoto wa masikini aende shule ...wanasema Ni swala binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna next time tena sindiyo wamemaliza? Kuna ndoa nyingine huko tusikokufahamu?
In case kama wakipata nafasi nyingine huko walikoenda kwa hati ya dharura 😂😂😂
Ila umeadimika sana mama.
 
In case kama wakipata nafasi nyingine huko walikoenda kwa hati ya dharura 😂😂😂
Ila umeadimika sana mama.
Nimo nimo sana tu. Heri ya mwaka mpya sisi tuliuona jana kabla yenu.
 
Back
Top Bottom