Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Asante sana jamani, ila tayari mewahiwa na utararibu ndo huo huo! Tukitoka kanisani ni nyumbani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
[emoji29] Janani... Nipee hata kamwaliko basi[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Asante sana jamani, ila tayari mewahiwa na utararibu ndo huo huo! Tukitoka kanisani ni nyumbani!
Kuna next time tena sindiyo wamemaliza? Kuna ndoa nyingine huko tusikokufahamu?Walikutana Pipa na mfuniko, watategemea vipi zawadi zilipe madeni ya 179m, chizi peke yake ndio angekuwa na akili kama za kwao.
RIP wanandoa, ila next time waache ujinga, maisha sio rahisi kama walivyodhani.
Utakaribia kanisani upate mibaraka tele
Nilishuhudia ndiyo nikiwa na miaka 11 tena nikiwa na akili timamu na uelewa mpana haswaaaaah.Ulishuhudia ndoa ya wazazi wako? au ulihadithiwa...
Wazazi wangu wamefunga pingu za maisha nikiwa na akili timamu, kwahiyo naelewa vilivyooohDUH.......ULISHUHUDIA NDOA YA
WAZAZI WAKO??
KAMA NDIVYO,SEMA ULISHUHUDIA
WAKIKATA LESENI.
Chakula wali mkavu na chai au juice za kuchanganya na maji.Hongera kwangu ambaye nilifanya harusi kwa laki 7 na ushee tuu, na life linazidi kuchanja mbuga hapa.
Wapumzike kwa amani, honeymoon wataipata huko huko kwa Muumba wao
Labda Kama umeoa,ila Kama umeolewa,Ni lazima kupokea maelekezo kutoka juuNdo maana nasema hiyo siku nikitoka kanisani ni nyumbani moja kwa moja!
Pilau, kuku, soda, maji
Mzee wangu huwa anawauliza..."limetokea ghafla au ulipanga..."huwa anawatoa nduki,anasema ukichangisha kumsaidia mgonjwa,wanakujibu kwani Hana ndugu...?kuchangisha kusaidia ada ya mtoto wa masikini aende shule ...wanasema Ni swala binafsiMimi mtu akija kuniomba mchango wa harusi naweza hata nikampiga. This is non sense, hivi mtu unafanyaje kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako? So what? Ili uonekane?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walivundika kiporo sanaNilishuhudia ndiyo nikiwa na miaka 11 tena nikiwa na akili timamu na uelewa mpana haswaaaaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
In case kama wakipata nafasi nyingine huko walikoenda kwa hati ya dharura 😂😂😂Kuna next time tena sindiyo wamemaliza? Kuna ndoa nyingine huko tusikokufahamu?
Mimi ndo nitakayeamua hivyo mkuu, msimamo wangu ndo huo! Hakuna sherehe!!Labda Kama umeoa,ila Kama umeolewa,Ni lazima kupokea maelekezo kutoka juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimo nimo sana tu. Heri ya mwaka mpya sisi tuliuona jana kabla yenu.In case kama wakipata nafasi nyingine huko walikoenda kwa hati ya dharura 😂😂😂
Ila umeadimika sana mama.