Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Nshaunguza sana hzi plates, maana nlikua natembea kwny barabara mbovu mixer foleni kwa hyo mda wote mguu kwny clutch.
Aaaah me bwana huwa najionea stress kuna siku nilitest mziki wa Promox manual dah aisee chamoto nilikiona.
 
How comes auto inakua expensive kuliko manual, wakati always gari manual bei yake hua imesimama ukilinganisha na auto
Manual zinapoteza soko taratibu ingawa kuna watu wanazihitaji ila madesigner wa automatic wanazidi ongeza mbwembwe so mambo yanakuwa mazuri.
 
How comes auto inakua expensive kuliko manual, wakati always gari manual bei yake hua imesimama ukilinganisha na auto
Sifahamu ssb yao. Labda ni business strategy kulingana na kapu la wateja wao.
 
Ile ist ilikua inaninyima usingizi....
Ufunguo wa gari nilikua nachomeka katikati ya godoro ndo nalala....

Siku ya kwanza niliamka mara 4 kuchungulia dirishani isije ibiwa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ile ist ilikua inaninyima usingizi....
Ufunguo wa gari nilikua nachomeka katikati ya godoro ndo nalala....

Siku ya kwanza niliamka mara 4 kuchungulia dirishani isije ibiwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
raha ya gari ya kwanza ununue kwa hela zako si za mkopo, ukiwa ni mkopo hamu yote inaisha mapema
 
Hizi experiences aisee πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu nina imani uko Bandarini leo kuangalia meli inavyotia nanga
 
Kila la kheri MkuuπŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikikumbuka najiona mjinga na ki-IST changu No. C

1. Nilikuwa nikilala nikishtuka nachungulia dirishani kama kipo, na kujipiga kifua.

2. Ilikuwa inaoshwa kila nikirudi home, unyunyu haukatiki, nikikupa lift ukishuka nafuta carpet na seat, sikutaka kushusha kioo hata siku moja.

3. Jumamos nilikuwa naosha zaidi ya mara 2, mtu akiigusa nilikuwa nahisi kupasuka.

4. Sikuwa kumpa mtu aendeshe nilikuwa na wivu nayo balaaa[emoji1787][emoji1787]

5. Mafuta ni full tank kila Jmos kama school bus vile ikishuka nusu (H) nahisi kama itazima muda wowote.

6. Service ilikuwa kwa wakati tofauti na gari ya 4 niliyonayo kwa sasa nilikuwa sina kusikilizia au inisogeze hadi Jmos afadhali nisipige bia ila nitengeneze gari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

7. Kila Jmos nilikuwa naipeleka kufanyiwa general check up kama mgonjwa wa pressure.
 

sio auto ndio inachosha miguu na kiuno?
safari ndefu na auto wengine zimetushinda
 
Kwenye somo la measurements & evaluation....nilijifunza THINGS A TO BE VALUED AND PEOPLE TO BE LOVED.
Sinaga uchizi kwenye vitu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…