Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

😀😀😀Umenipeleka mbali kichizi 2009 gar yangu ya kwanza ni raum ile old model,T 7** ATR hapo bado nlikuwa naishi home kwa wazazi, kila siku ilikuwa ugomvi na maza nakausha ukoka kwa kuoshea gari hapo kila siku lazima
Ipigwe kiwi
Lakini hata sasa sijaacha hiyo tabia, gar yangu iko mng'aro daily na naosha mwenyewe sijui car wash
 
Upo nayo hiyo hiyo au umebadilii?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 



Daaah mkuu huu Uzi ni kama uliniona hivi, nmeagiza hiyo chombo itatua bongo trh 24/12/2021 kwa Meli ya Silver Ray...Hapa nshaanda Flash yenye Masebene na Fungu la Android tv na Wooofer[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]....naona siku hazitembei kabisaaa.
 
Mpaka hapa home inasimama ngapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naelewa mzee. Hapo bado kile kidude cha kuning'iniza na ufunguo. Chaja ya kwenye gari. Perfume/air freshener. Hadi utasahau kuwa una mke na familia kwa muda. Waliosema gari mke wa pili hawakukosea. Maana dah linachukua attention balaa plus unajikuta huwezi kaa mbali nalo.

Sasa hapo jamaa ifike tarehe 24 hiyo halafu alete kiswahili unaweza jikuta upo tu hapo ofisini kwake umeshinda siku nzima unamuuliza maswali akupe majibu au msubirie gari nyote.
 
Hakuna kitu huwa kinauma mwanzoni kama gari kupata scratches [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa. Pale huwa unatamani kitu kilichokwangua ukakipige mateke au unatamani kurudisha dakika nyuma ili uone hilo tukio tena lisitokee. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…