Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Ukute ndan kitu cha autoo
Kabisa. Manual ni technology ya kizamani na gari za sasa za auto zinazidi kuboreshwa Kuna AT, AMT, IMT, CVT, DCT.

Sasa ya nini kujitesa na kuendesha gari hadi miguu inauma. Ndo maana madereva wa zamani viuno ilikuwa shida maana wanakaza tako safari nzima.
 
Hahahahahaah ngoja wajee hapa mkuu....ila mm mambo ya kuua gear box,sitak kusikia
 
Nilishawahi kununua ile dawa ya scratch...kila saa nafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni bora niende nikapaki upanga kuliko kwenda nayo karikoo kugombania parking [emoji2405] za kubanana Mixer kugusana ni dakika tano. Naenda paki gari upanga nachukua pikipiki buku mbili nakuja kariakoo....
 
Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari[emoji23][emoji23] pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza[emoji14]
Kulala ndani ya gari lazima, ila mbu utawakoma[emoji16]

Ombea ndinga kali zaidi sio IST banaa[emoji2960][emoji2960]
 
Uliyoyasema yote yalinikuta kila nikikumbuka huwa nacheka nakuona aibuu[emoji848]
Ndo maana wazungu wana utamaduni watoto wao wakitimiza miaka 16 anampeleka driving school. Akipata leseni mzazi anamnunulia mtoto gari ya kuanzia maisha.
Ile inawasaidia vijana kuwa confidence kumiliki na kutumia gari kwa utulivu. Yaani akija nunua gari anakuwa very confident kuitumia na comfortable.

Bongo mzee akununulie gari sijui labda awe ni kibopa au tajiri sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Umenipeleka mbali kichizi 2009 gar yangu ya kwanza ni raum ile old model,T 702 ATR hapo bado nlikuwa naishi home kwa wazazi, kila siku ilikuwa ugomvi na maza nakausha ukoka kwa kuoshea gari hapo kila siku lazima
Ipigwe kiwi
Lakini hata sasa sijaacha hiyo tabia, gar yangu iko mng'aro daily na naosha mwenyewe sijui car wash
Engine ikichafuka unafanyaje mkuu? Maana na mimi carwash wananichosha kwa kuharibu vitu
 
View attachment 2012235

Daaah mkuu huu Uzi ni kama uliniona hivi, nmeagiza hiyo chombo itatua bongo trh 24/12/2021 kwa Meli ya Silver Ray...Hapa nshaanda Flash yenye Masebene na Fungu la Android tv na Wooofer[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]....naona siku hazitembei kabisaaa.
Hongera mkuu

Gari raha sana hasa ikiwa jipyaa
 
Kulala ndani ya gari lazima, ila mbu utawakoma[emoji16]

Ombea ndinga kali zaidi sio IST banaa[emoji2960][emoji2960]
Unawasha AC halafu unasima. Ila liwe gar sasa sio passo au vits [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila passo. Dah nilikuwa nasemwa kama siendeshi gari..... Watu walikuwa wanaona kama naendesha lunchbox
 
huu uzi leo ndo nimeamini kumbe sio wote JF wana magari😛😛😛. Nyuzi nyingi za magari kila mtu anatoa user experience yaani wachangiaji wote wana magari, kumbe sio bhana.
Mi huwa mtu akiingia na matope au vumbi pale kwenye kikanyagio mlangoni huwa nachukia sana, sasa wakiingia madogo wakachafua nawaangalia🙄🙄 halafu naishia tu kusema hii ni gari ya familia na hawa ndo wenyewe haswa napiga moyo konde nawasha gari nasepa nao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni bora niende nikapaki upanga kuliko kwenda nayo karikoo kugombania parking [emoji2405] za kubanana Mixer kugusana ni dakika tano. Naenda paki gari upanga nachukua pikipiki buku mbili nakuja kariakoo....
Haahaa we kiboko....si uingie mkapa pale kwenye makapeti buku 2 siku nzima, parking kama loote
 
Back
Top Bottom