Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Dereva wangu anajiuguza kiuno sasahivi, ...😀😀 hizo gari za manual zinatesa sanaKabisa. Manual ni technology ya kizamani na gari za sasa za auto zinazidi kuboreshwa Kuna AT, AMT, IMT, CVT, DCT.
Sasa ya nini kujitesa na kuendesha gari hadi miguu inauma. Ndo maana madereva wa zamani viuno ilikuwa shida maana wanakaza tako safari nzima.