Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Jf hakuna wa hivyo, wamejaa flat screen
hivi kati ya flat screen na chogo.....ipi TV ghali......?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf hakuna wa hivyo, wamejaa flat screen
Inategemea na picha inayotoahivi kati ya flat screen na chogo.....ipi TV ghali......?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]JF? sidhani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Inategemea na picha inayotoa
Inategemea na picha inayotoa
Jifariji tu kuna chogo zina hdmihaiwezekani hata siku moja.....quality ya chogo ikafikia flat......tena hasa curve.......ndio matata......
Jifariji tu kuna chogo zina hdmi
Flat screen inapendeza km ina curve matatawayiiii. usinichoshe bana........
tho nimekumiss........
Niliumia sana cku nmekuulizia humu nkaambiwa una ujauzitowayiiii. usinichoshe bana........
tho nimekumiss........
Niliumia sana cku nmekuulizia humu nkaambiwa una ujauzito
Tatizo Curve ina angle moja tu nzuri [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]haiwezekani hata siku moja.....quality ya chogo ikafikia flat......tena hasa curve.......ndio matata......
nimeshajifungua.....naendelea vizuri.......mtoto na baba yake wana afya njema sana..........
flat skirinihivi kati ya flat screen na chogo.....ipi TV ghali......?
flat skirini
Aiiih preta upo? Umrpotea sana humu jamvinihivi kati ya flat screen na chogo.....ipi TV ghali......?