duuuhpoa tukutanie wap ssa
Awe wa hivi alinge..!Huyu kapece
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikua unamtumia bibie mkutane wap?poa tukutanie wap ssa
acha kukariri maishaJf hakuna wa hivyo, wamejaa flat screen
Yakhe sio mchezo.aiseee
Hahahaha! nitakua nimemuanika....so.....hebu ninong'oneze mkuu nikatipie ndoano pm
[emoji16][emoji16][emoji16]Naomba pm yake nijikipuage mie....[emoji39] [emoji39]
TooobaaaaJf hakuna wa hivyo, wamejaa flat screen
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Huyu atakuwa kapeace wangu!!!
Mmeitoa wapi pic yangu???Huyu kapece
Niwe na mke kama huyu cjui ntachepuka kufuata nnAwe wa hivi alinge..!