Temetrius J12A
Member
- Aug 9, 2022
- 5
- 1
Rema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmemfanania idi amin dadaaa kama pacha wake vile🤣😅Wakuu habari,
Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k
Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na mwanamuziki Mmarekani anajulikana kwa jina la Clifford Joseph Harris maarufu kama TI.
Kama unamjua pia member mwenzako anafanana na mtu gan mashuhuri ebu tuambie huenda tunaweza kufahamiana kwa kufananishana.
View attachment 2306735
Hahaha. Trust me nafanana na Obama japo sio mrefu km Obama