Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

IMG_20220729_163901.jpg
 
Wakuu habari,

Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k

Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na mwanamuziki Mmarekani anajulikana kwa jina la Clifford Joseph Harris maarufu kama TI.

Kama unamjua pia member mwenzako anafanana na mtu gan mashuhuri ebu tuambie huenda tunaweza kufahamiana kwa kufananishana.

View attachment 2306735
Nmefanana na Lisa wa Rapcha[emoji4][emoji4]
 
Hivi ni mimi tu au maana kila nikienda sehemu lazima nifananishwe na mtu

Imekuwa kero sijui shida ni nini
 
Wakuu habari,

Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k

Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na mwanamuziki Mmarekani anajulikana kwa jina la Clifford Joseph Harris maarufu kama TI.

Kama unamjua pia member mwenzako anafanana na mtu gan mashuhuri ebu tuambie huenda tunaweza kufahamiana kwa kufananishana.

View attachment 2306735
Naona Watu wa Kitengo ( SSIT ) Makao Makuu Oysterbay mnataka sasa Kujiridhisha na JF Members mnaowatafuta, wahisi na hata Wengine kuwa na Picha zao tayari.

Haya Mimi nafanana na Bolo Yung!!!
 
huwa sipendi kujifananisha muonekano wangu na celebrities/watu mashuhuri kwasababu kitabia huwa hawaeleki.

unaweza kushangaa baada ya mda fulani mtu ambaye unamchukulia kama rolemode wako, anajitangaza yeye ni shoga.

rejea ile issue ya michael scofield wa series ya prison break au anderson cooper wa cnn.

huyu anderson cooper wakati nikiwa chuo kabla hajajitangaza yeye ni shoga, nilikuwa namu admire sana. akanifanya na mimi nitamani kuwa mtangazaji wa tv siku moja.
Hapo wote sasa sio mashoga, wanawachota akili wa Africa ili wawa win. Wazungu kwa propaganda wako vuzuri.
 
Back
Top Bottom