Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

Angelina Jolie Voight
 

Attachments

  • images (23).jpeg
    images (23).jpeg
    7.3 KB · Views: 13
"Mimi niko na sura yangu personal " 😂

Sura yangu huwa inategemea nilivyoamka na hali ya mfuko wangu kwa wakati husika, kuna kipindi nafanan na tupac, kuna kipindi arifu ni kama masudi sura mbaya😂

Joan S hebu nisaidie nafanana na nani? 😂
🤣🤣🤣 Kwa jinsi ilivyo ya kipekee. Sioni hata wa kukufananisha naye.
 
🤣🤣🤣 Kwa jinsi ilivyo ya kipekee. Sioni hata wa kukufananisha naye.
Mimi ndugu zangu marehemu remmy ongala, masoud sura mbaya, nahisi harmorapa anaweza akawa ukoo wetu,sura inakuja kuja ila shida akili yake haifanani na watu wa ukoo wetu. 😂
 
Back
Top Bottom