Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

Ukiniona Mimi utapata mshtuko huyu Andre Young kafata nini huku bongo mbona clouds hawakutangaza.
Aisee mimi na Dr.Dre mtu na pacha wake.
 
Masela wanasema nmefanana na Usher Raymond
291324813_5182442475173411_822608036625420672_n.jpg
 
Wakuu habari,

Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k

Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na mwanamuziki Mmarekani anajulikana kwa jina la Clifford Joseph Harris maarufu kama TI.

Kama unamjua pia member mwenzako anafanana na mtu gan mashuhuri ebu tuambie huenda tunaweza kufahamiana kwa kufananishana.

View attachment 2306735
.
 
Back
Top Bottom