Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
kimya kikuu kina mshindo ...............na tusubiri huo mshindo mkuu
wamwamini sana jk? kwa lipi?wanamuachia Jk aongoze kwa miaka 5 iajyo, kwani wanamuamini sana tu Jk
wamwamini sana jk? kwa lipi?
ama kweli wewe ni malaria sugu!
hapana ni JMK mwenyewe:target:mkuu kamakabuzi huyu MS mwache alivyo ni sawa na JK :flypig::flypig:
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za kiTZ
WanaJF muna mtazamo upi kuhusu kimya hiki??
Kwa nini unasema hivyoyou are lying!!
But he has nothing to losemhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK
But he has nothing to lose
Maisha yake hayategemei CCM kama walivyo wengine wengi, ni mtu wa kutosheka.Kwanini unasema hivyo??
mhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK