Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sala kubwa ya Chadema iwe ni CCJ isisajiliwe ndipo Chadema wampate, ila wakibahatika kumpata, JK atakuwa ana kibarua kigumu!.mhh!!! atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK
mhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK
Ajimalize kisiasa kwa siasa gani, za CCM? You must be in a different world all together. Huyu bwana ni wa kimataifa for your information, wala hafai kwenye siasa zenu za majitaka! Hata hivyo anaweza kuwa Rais mzuri sana na akairudisha nchi kwenye mstari unaotakikana. CHADEMA wakifanikiwa kumpata watakuwa wamelamba dume!
CCM hawako hivyo unavyofikiria. Hawampi mtu kura kama nafasi zao za ulaji zitakuwa mashakani. Ila kama atawaahidi kuendelea na Uenyeviti wa CCM, Ukatibu mkuu, ukurugenzi, ukuu wa polisi, ukuu wa magereza, ukuu wa majeshi, ukurugenzi wa halmashauri za miji, uenyekiti wa tume ya uchaguzi na ukurugenzi wake, ukuu wa usalama wa Taifa, Ukuu wa TAKUKURU, Usajili wa vyama vya siasa, Ukuu wa mikoa na wilaya basi siyo tu watampigia kura bali pia watakuwa tayari kumtangaza pindi akichaguliwa na wananchi na hawatamuibia kura. Hao wote niliyowataja ndiyo sababu za kwa nini "CCM huwa inashinda kwa vyovyote au kwa lazima"
CCM hawako hivyo unavyofikiria. Hawampi mtu kura kama nafasi zao za ulaji zitakuwa mashakani. Ila kama atawaahidi na kuwahakikishia kuendelea na Uenyeviti na ukatibu wa mikoa wa CCM, Ukatibu mkuu wizarani, ukurugenzi, ukuu wa polisi, ukuu wa magereza, ukuu wa majeshi, ukurugenzi wa halmashauri za miji, uenyekiti wa tume ya uchaguzi na ukurugenzi wake, ukuu wa usalama wa Taifa, Ukuu wa TAKUKURU, Usajili wa vyama vya siasa, Ukuu wa mikoa na wilaya basi siyo tu watampigia kura bali pia watakuwa tayari kumtangaza pindi akichaguliwa na wananchi na hawatamuibia kura. Hao wote niliyowataja ndiyo sababu za kwa nini "CCM huwa inashinda kwa vyovyote au kwa lazima"
CCM hawako hivyo unavyofikiria. Hawampi mtu kura kama nafasi zao za ulaji zitakuwa mashakani. Ila kama atawaahidi na kuwahakikishia kuendelea na Uenyeviti na ukatibu wa mikoa wa CCM, Ukatibu mkuu wizarani, ukurugenzi, ukuu wa polisi, ukuu wa magereza, ukuu wa majeshi, ukurugenzi wa halmashauri za miji, uenyekiti wa tume ya uchaguzi na ukurugenzi wake, ukuu wa usalama wa Taifa, Ukuu wa TAKUKURU, Usajili wa vyama vya siasa, Ukuu wa mikoa na wilaya basi siyo tu watampigia kura bali pia watakuwa tayari kumtangaza pindi akichaguliwa na wananchi na hawatamuibia kura. Hao wote niliyowataja ndiyo sababu za kwa nini "CCM huwa inashinda kwa vyovyote au kwa lazima"
Na hawa ndio ambao wanashiba kwa hiyo itakuwa kazi kubwa kuwashauri wachague mtu ambaye wanaona atawashika mkono wasipeleke tonge mdomoni. Hata hivyo, tusife moyo kuna kundi kubwa la asilimia 70 ya wafuata upepo pamoja na wengine waelewa wenye uchungu na mstakabali wa nchi hii. Ushindi unaweza kupatikana kupitia kwa hao iwapo akipatikana mgombea makini atakayeweza kuiumbua ipasavyo CCM-Fisadi.
HofstedeCCM hawako hivyo unavyofikiria. Hawampi mtu kura kama nafasi zao za ulaji zitakuwa mashakani. Ila kama atawaahidi na kuwahakikishia kuendelea na Uenyeviti na ukatibu wa mikoa wa CCM, Ukatibu mkuu wizarani, ukurugenzi, ukuu wa polisi, ukuu wa magereza, ukuu wa majeshi, ukurugenzi wa halmashauri za miji, uenyekiti wa tume ya uchaguzi na ukurugenzi wake, ukuu wa usalama wa Taifa, Ukuu wa TAKUKURU, Usajili wa vyama vya siasa, Ukuu wa mikoa na wilaya basi siyo tu watampigia kura bali pia watakuwa tayari kumtangaza pindi akichaguliwa na wananchi na hawatamuibia kura. Hao wote niliyowataja ndiyo sababu za kwa nini "CCM huwa inashinda kwa vyovyote au kwa lazima"
Yeye Hofstede anafikiri tunazungumzia uchaguzi ndani ya CCM hadi awaahidi vyeo walio madarakani, anachanganya na SAS kuwa nje ya CCM kuwa hana haja ya kuwaahidi vyeo walio madarakani ni kama kusema Mrema aanze kuwaahidi vyeo makatibu wa wizara.Hofstede sizungumzii CCM wachache walioko madarakani mie nazungumzia CCM wanachama wanaomjua vizuri SAS watampa nakuhakikishia ndugu yangu jamaa anapendwa kuliko JK wewe subiri aseme anaingia katika kinyang'anyiro uone CCM bara kama kutakalika
Still connecting the dots
Ana nia ya kuhamia huko? Kama ndiyo, lini atafanya hivyo? July 2010? Chadema bado hakuna mtu aliyetangaza nia ya kuwania urais? Niliwahi kusikia kuwa JK angetoswa tena 2005 na CCM alikuwa amejiandaa kuruka na kutua Chadema na kugombea!
This is quite interesting! By the way, this gentle, intelligent international figure is too diplomatic and too clean to deal with crooks na croocked politics za CCM! CHADEMA msimtafutie balaa...
Huyu jamaa ni clean hata CCM-fisadi wakimwaga sumu hawatafanikiwa sana, hata kama atashindwa lakini atakuwa ameleta changamoto kwa siasa za baadae za tanzania.Mkubwa JK kumbuka ameshinda kwa kutumia nguvu ya mtandao ambao walihakikisha wanadominate NEC na kisha wanatumia mgongo wa CCM kumtangaza JK. Kuna watu huko mikoani hata JK hawamjui wanajua akina Cleopa msuya, sokoine na nyerere basi. Lakini SAS is the different ball game mkubwa yeye mwenyewe akisimama anatosha ila swala linakuja hawa CCM wanyonge wakishanyishwa sumu na CCM-fisadi basi SAS hashindi hata kwa bure. Ila kama CCJ au chadema wakiweza kulikamata hili swala wakaweza kuwazuia CCM-Fisadi wasieneze sumu SAS anashinda kiulaini Tanzania Bara. Zanzibar ni ishu nyengine maana bado ile sumu imerethishwa kwa generation tatu but umaskini na matatizo ya zanzibar hali inaweza kuwa tofauti ila kwa Tanzania Bara sidhani kama JK anaweza kumzuia huyu jamaa sidhani!!!
MarigweNyie nyie. Mnaelewa mnachokizungumzaa??? Hivi ni nani mjinga ambaye umri wake umeenda na anakaribia kuf kufa anataka kujimaliza kisiasa saa hizi za magharibi? Mbona mwaongea pumba nyie??!