Elections 2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa


Embu tueleze na wewe ulikuwa unafanya nini hapo? Wewe ulienda kufanya mkutano na nani?
 

BROTHER PASCO LOOH!!! unanitisha ndugu yangu, hata hivyo najifunza. Kumbe sikutakiwa kulizungumza hili ni mapema mno? Lakini kama utakuwa makini mimi nimeuliza swali tu.
 
thank you mganyizi kwa kunipa moyo kwani nilishaanza kuogopa kuwa huenda nimekurupuka pia sina haki ya ku share yale niliyoyaona.

Naamini jf ipo kwa ajili ya kujuzana. Najifunza pia. Nimeshakaribia.

Wala usiwe na hofu we dare to talk openly, vikao vya Lowasa na kundi lake vilikuwa vinaripotiwa hapa hata wakikutana porini kwenye mbuga za wanyama huko Manyara. Wala hujavunja sheria yeyote. Hata hivyo JF tunapenda zaidi ushahidi ili kupata uhakika wa jambo. Kwakuwa wewe ndiyo source weka hata picha basi.

By the way kama chadema watamuweka Sumaye sidhani kama watapata mafanikio makubwa. Sumaye alikuwa waziri Mkuu kwa miaka 10 hakufanya mengi, pia alichafuliwa sana kama si kuchafuka. Sumaye hawezi kuwa na muarobaini wa matatizo tuliyonayo sasa, we need serious leaders Chadema wangemshawishi Dr. Salim vinginevyo wamuunge mkono Prof. Lipumba.

Binafsi siamini kama Sumaye anaweza kukutana na viongozi wa chadema for a serious political talks ndani ya jiji la Dar es Salaam. Wangeweza kukutana nje ya Dar tena hata nje ya nchi kabisa. Kama hii ni kweli basi makubaliano yao yamefikia hatua za juu sana na Sumaye ameshafanya maamuzi na yupo tayari kwa liwalo na liwe.
 

Pamoja na kuwa unajifanya kuwa ni mgeni humu lakini wewe ni mzoefu sana tu. Uliwezaje kwenda kuichokonoa hii thread ilikojificha. Ndiyo maana tunasema kuwa nyie watu pamoja na kujifanya smart lakini hamna kitu kwani mnaacha footprint kibao nyuma. Wewe tumia jina lako hilo hilo
 
u want to tell me kimya cha chadema kimeibuka na Sumaye?
 
Dr Slaa ameshavuka kwa mbali hii ngazi ya UBUNGE. Anaogopa nini kugombea URAIS? Atachelewachelewa kama alivyofanya SAS tangu mwaka 1985 hadi akaja kuchukua fomu 2005! Ikawa tayari kila kitu hakiko upande wake.
Dr Slaa, bila kuikamata IKULU sasa huko mbeleni itakuwa vigumu sana kwako. Wala jitihada zako BUNGENI na ndani ya majukwaa ya CHADEMA havitatusaidia sana WATANZANIA.
 


I think Dr Slaa akisikia huu ujumbe anaweza kubadiri mawazo yake
 
rais bado kwa tanzania kutoka upinzani ..................upinzani ndio kwanza unahitaji kupigania majimbo.
 
mhhh mambo haya mazito kama ni kweli
 
Huu ndo mshindo wenyewe sasa Gooooo dr SLaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…