Tetesi: Kimya cha mkuu wa Nchi kina mshindo kuelekea 2018

Tetesi: Kimya cha mkuu wa Nchi kina mshindo kuelekea 2018

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa.
Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio yanaendekea mkuu wa kaya amekaa kimya kimya wengi wanakiona kama sii cha kawaida ila ni chakawaida. Hasa pale maamuzi mazito na magumu yanataka kuyolewa kwa mustakabali wa taifa.
Kiufupi haya ni mazito na nikatika kila nyanja prove im wrong but this is more than top secret even me siwezi andika hapa.
Jambo kubwa tunaweza kufanya nikuliombea taifa letu na viongozi wetu kulipeleka taifa hili nchi ya ahadi.
Jambo la hatari sana labda nigusie ni hujuma ya watu wachache kwa taifa nadhani hili linamkosesha usingiz mh Rais nakama mnavyo mjuwa hatanii nikweli anamanisha wanao hujumu taifa nibora wahame taifa nahata wakiama yawapasa kutubu before time change.

Sina habari zaid ya hii ila napenda watanzanie wajuwe huyu Rais sio wakawaida na uwenda asitokee tena baada ya miaka kadhaa.
Mwisho wa unabii wangu na mwaka mpya mwema.
 
Kuna MTU simpendi, yaani Basi tu, Kwanza nadhani hajatahiriwa maana kule kwao hawatahiri hadi kwa msaada wa watu wa Marekani,
Mtaje mkuu bujibuji kuna msaada wa bure kuhusu tohara sasa hivi
 
Yupo kimya! Ndio yupo kwenye maombi. Anajutia dhambi zake,anataka kuingia mwaka mpya akiwa safi
 
Mtoa mada na anayezungumziwa naona bado wapo jandoni na wana frustration Kali sana ya kutesa wananchi
 
Mwandiko mbaya (kuyolewa) (wakiama) (mjuwa) (uwenda) nini maana ya maneno haya?

Unakimbizwa na kitu gani soma post yako kwanza mkuu TumainiEl
 
Kuna MTU simpendi, yaani Basi tu, Kwanza nadhani hajatahiriwa maana kule kwao hawatahiri hadi kwa msaada wa watu wa Marekani,
Wewe unatoka kanda ya kati, tuangalie watani wako ni akina nani tutamjua mwenye zunga/zunka.
Katiba haikukosea "mila ziheshimiwe na kudumishwa"
(lakini sio kwa kujifaragua na soksi)
 
Back
Top Bottom