Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa.
Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio yanaendekea mkuu wa kaya amekaa kimya kimya wengi wanakiona kama sii cha kawaida ila ni chakawaida. Hasa pale maamuzi mazito na magumu yanataka kuyolewa kwa mustakabali wa taifa.
Kiufupi haya ni mazito na nikatika kila nyanja prove im wrong but this is more than top secret even me siwezi andika hapa.
Jambo kubwa tunaweza kufanya nikuliombea taifa letu na viongozi wetu kulipeleka taifa hili nchi ya ahadi.
Jambo la hatari sana labda nigusie ni hujuma ya watu wachache kwa taifa nadhani hili linamkosesha usingiz mh Rais nakama mnavyo mjuwa hatanii nikweli anamanisha wanao hujumu taifa nibora wahame taifa nahata wakiama yawapasa kutubu before time change.
Sina habari zaid ya hii ila napenda watanzanie wajuwe huyu Rais sio wakawaida na uwenda asitokee tena baada ya miaka kadhaa.
Mwisho wa unabii wangu na mwaka mpya mwema.
Hata mimi naona una kaliba chotara kati ya ile ya mchojoa mavazi mahiri lemutuz Na nyingine ni ya Deogratius Kisandu. Ni hatari sana kapoteza muda kwa mtu mwenye kaliba za aina hiiSasa kutahiri na CCM vinahusianaje? Nadhani siku hizi unatakiwa upumzike tu maana umekuwa na mipasho mingi sana.
Nimewahi kusoma kitabu kiitwacho "Men Are From Mars, Women Are From Venus" Naona dalili za kama mtu aliyetoka kwenye sayari ya Zuhura vile.
Hata mimi naona una kaliba chotara kati ya ile ya mchojoa mavazi mahiri lemutuz Na nyingine ni ya Deogratius Kisandu. Ni hatari sana kapoteza muda kwa mtu mwenye kaliba za aina hii
after magufuri leadership we will start complaing the new leader
Wee umeshawahi wahi kusoma kitabu cha pangalashaba?![]()
![]()
![]()
![]()
Hakika nimekubana kwenye kona umelainika kweli. Nikuulize tu je, umewahi kukisoma kitabu hicho?![]()
Men Are From Mars, Women Are From Venus
Kinaitwaje? Nakuona sasa umekuwa mpole.Wee umeshawahi wahi kusoma kitabu cha pangalashaba?
Panga la shabaKinaitwaje? Nakuona sasa umekuwa mpole.
Ngoja nikitafute. Ninapenda kusoma vitabu.Panga la shaba
Kuna MTU simpendi, yaani Basi tu, Kwanza nadhani hajatahiriwa maana kule kwao hawatahiri hadi kwa msaada wa watu wa Marekani,