Tetesi: Kimya cha mkuu wa Nchi kina mshindo kuelekea 2018

Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa.
Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio yanaendekea mkuu wa kaya amekaa kimya kimya wengi wanakiona kama sii cha kawaida ila ni chakawaida. Hasa pale maamuzi mazito na magumu yanataka kuyolewa kwa mustakabali wa taifa.
Kiufupi haya ni mazito na nikatika kila nyanja prove im wrong but this is more than top secret even me siwezi andika hapa.
Jambo kubwa tunaweza kufanya nikuliombea taifa letu na viongozi wetu kulipeleka taifa hili nchi ya ahadi.
Jambo la hatari sana labda nigusie ni hujuma ya watu wachache kwa taifa nadhani hili linamkosesha usingiz mh Rais nakama mnavyo mjuwa hatanii nikweli anamanisha wanao hujumu taifa nibora wahame taifa nahata wakiama yawapasa kutubu before time change.

Sina habari zaid ya hii ila napenda watanzanie wajuwe huyu Rais sio wakawaida na uwenda asitokee tena baada ya miaka kadhaa.
Mwisho wa unabii wangu na mwaka mpya mwema.
Bora usingeandika chochote kwa sababu unategea aongee lolote kisha uje utuambie 'nilisema'
Otherwise switch to point
 
Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa.
Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio yanaendekea mkuu wa kaya amekaa kimya kimya wengi wanakiona kama sii cha kawaida ila ni chakawaida. Hasa pale maamuzi mazito na magumu yanataka kuyolewa kwa mustakabali wa taifa.
Kiufupi haya ni mazito na nikatika kila nyanja prove im wrong but this is more than top secret even me siwezi andika hapa.
Jambo kubwa tunaweza kufanya nikuliombea taifa letu na viongozi wetu kulipeleka taifa hili nchi ya ahadi.
Jambo la hatari sana labda nigusie ni hujuma ya watu wachache kwa taifa nadhani hili linamkosesha usingiz mh Rais nakama mnavyo mjuwa hatanii nikweli anamanisha wanao hujumu taifa nibora wahame taifa nahata wakiama yawapasa kutubu before time change.

Sina habari zaid ya hii ila napenda watanzanie wajuwe huyu Rais sio wakawaida na uwenda asitokee tena baada ya miaka kadhaa.
Mwisho wa unabii wangu na mwaka mpya mwema.

Zamani jf ilisheheni NONDO za maana na ilikuwa chimbuko la mijadala ya kitaifa,siku hizi mpuuzi mmoja tu akimaliza kupatiwa unyumba na mwezi wake,anakimbilia jukwaani kuleta hisia zake.Tetesi za kipumbavu za aina hii zilizosheheni mahaba kwa bwana wako ni vizuri ungebaki nazo mwenyewe!
 
Yupo kimya! Ndio yupo kwenye maombi. Anajutia dhambi zake,anataka kuingia mwaka mpya akiwa safi
Bora awe kimya Nina miezi mitano siangalii taarifa za habari,bora niangalie James Bond Movie kuliko upepo wa huyu jamaa,amedanganya vitu vingi matokeo yake chuki imeleta shida,na mawakara wake Tulia na Job wameliweka taifa gizani,tunachojua hatuna Rais mpaka Mungu atapopenda.
 
Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa.
Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio yanaendekea mkuu wa kaya amekaa kimya kimya wengi wanakiona kama sii cha kawaida ila ni chakawaida. Hasa pale maamuzi mazito na magumu yanataka kuyolewa kwa mustakabali wa taifa.
Kiufupi haya ni mazito na nikatika kila nyanja prove im wrong but this is more than top secret even me siwezi andika hapa.
Jambo kubwa tunaweza kufanya nikuliombea taifa letu na viongozi wetu kulipeleka taifa hili nchi ya ahadi.
Jambo la hatari sana labda nigusie ni hujuma ya watu wachache kwa taifa nadhani hili linamkosesha usingiz mh Rais nakama mnavyo mjuwa hatanii nikweli anamanisha wanao hujumu taifa nibora wahame taifa nahata wakiama yawapasa kutubu before time change.

Sina habari zaid ya hii ila napenda watanzanie wajuwe huyu Rais sio wakawaida na uwenda asitokee tena baada ya miaka kadhaa.
Mwisho wa unabii wangu na mwaka mpya mwema.
Rubbish

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
 
Yupo mapumziko tu ... Akiongea shida akikaa kimya shida watanzania bwana embu tuache porojo tukomae kutafuta grease
 
Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa.
Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio yanaendekea mkuu wa kaya amekaa kimya kimya wengi wanakiona kama sii cha kawaida ila ni chakawaida. Hasa pale maamuzi mazito na magumu yanataka kuyolewa kwa mustakabali wa taifa.
Kiufupi haya ni mazito na nikatika kila nyanja prove im wrong but this is more than top secret even me siwezi andika hapa.
Jambo kubwa tunaweza kufanya nikuliombea taifa letu na viongozi wetu kulipeleka taifa hili nchi ya ahadi.
Jambo la hatari sana labda nigusie ni hujuma ya watu wachache kwa taifa nadhani hili linamkosesha usingiz mh Rais nakama mnavyo mjuwa hatanii nikweli anamanisha wanao hujumu taifa nibora wahame taifa nahata wakiama yawapasa kutubu before time change.

Sina habari zaid ya hii ila napenda watanzanie wajuwe huyu Rais sio wakawaida na uwenda asitokee tena baada ya miaka kadhaa.
Mwisho wa unabii wangu na mwaka mpya mwema.

Wanaomnyima usingizi ni wa hukohuko pande yake aendelee kujitafakari tu
 
Kuna MTU simpendi, yaani Basi tu, Kwanza nadhani hajatahiriwa maana kule kwao hawatahiri hadi kwa msaada wa watu wa Marekani,
Bujibuji utaendelea kuwa na donge kooni na utazeeka nalo. Uzuri wa CCM ni kuachiana vijiti. Baada ya Magufuli atakuja mwingine, so vumilia tu dawa ikuingie vizuri kwa muda wa miaka 10.
 
CCM ndio kwao hawatahiri?
Sasa kutahiri na CCM vinahusianaje? Nadhani siku hizi unatakiwa upumzike tu maana umekuwa na mipasho mingi sana.
Nimewahi kusoma kitabu kiitwacho "Men Are From Mars, Women Are From Venus" Naona dalili za kama mtu aliyetoka kwenye sayari ya Zuhura vile.
 
Back
Top Bottom