Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
We love you Mshana Jr, kamati ilitumwa kutafuta ungo ulioanguka popote duniani.Been missing you all
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We love you Mshana Jr, kamati ilitumwa kutafuta ungo ulioanguka popote duniani.Been missing you all
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji3] [emoji23] [emoji23] usingepatikana Kama ile ndege ya MalaysiaWe love you Mshana Jr, kamati ilitumwa kutafuta ungo ulioanguka popote duniani.
God is good niko Salama salimini
Njema kabisa onetimeHabari yako bro mshana jr
SawaMerejea nipo [emoji23]
Yupo Dodoma na Lizaboni wanamvizia Bashe na Mibegi yake ya Hela.Naomba kuhoji hasa ukizingatia kuwa ni mmoja wa vigogo waandamiz wa jf. Msaada mkubwa Sana Kwa Maada zake za kufikirisha na kukumbusha.. Sijamwona zaid ya week mbili.. Kapatwa na nini au ndo yuko chaka akirudi na story kubwa kama Ile alivoenda Lindi akakutana na jamaa anayekula popote na kutumia Bila kulipa hela. Uncle mshana Jr. Tumekumiss (tumekukosa). Na sio yeye tu wapo wengi ambao toka haya masakata ya kupelekesha kibabe Babe yaanze hatujawaskia. Siwezi kuwataja wote.. Huu upepo utapita tu na jf itarudi kwenye Zama zake za kuchangamka.. Watu wamekuwa wanyonge Sana ni kama tunasubiria kunyongwa. Mixer stress.. Mixer uwoga mixer kuchanganyikiwa.. Popote ulipo kumbuka lolote linatokea, usifanye makosa.. Tupo Zama za hatari kuwahi kutokea.. Take care... Mwenye mawasiliano na mshana Jr amshutue aje kutupa point chache za namna ya kuishi tanzania ya Sasa.. Maana kukutana na mtu anaongea peke yake barabarani sio ajabu tena Kwa kipindi hiki.
Macho kodoo[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji115]Ndo kikao kimeisha?
Asanteni sana dada nipo nimerejea bukheri wa afyaHahaha kumbe mdogo wangu ukipotea kidogo tu wengi wanakumiss. Kumbuka na mimi nilishapost kukuulizia.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji115] [emoji115]Yupo Dodoma na Lizaboni wanamvizia Bashe na Mibegi yake ya Hela.
[emoji39]Macho kodoo
Good, cheki pm kuna ujumbe nimekutumia mkuuGod is good niko Salama salimini
OkeyGood, cheki pm kuna ujumbe nimekutumia mkuu
Isije ikawa baashite kamtekaAtakuwa ameenda tena Korea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] never on earthIsije ikawa baashite kamteka
Hujui kama ni muda wa kuvuna maharage