Kimya Cha Rais Samia kuhusu kifo cha kiongozi wa CHADEMA, Ally Kibao, kinaanza kutia wasiwasi mkubwa

Yani we ndugu ulijua alikuwa serious kusema anataka uchunguzi?? Utakuwa mgeni nchini wewe! Hiyo ndo ishatoka brother tazama mengine! Nchi hadi ije ipate upako hii, tunasubiri mwamposa atusaidie kutuamsha japo anatulaza naye zaidi na kutupiga njuluku deile
 
Serikali isiyotaka kuwajibika Kwa wananchi wake, inajitia kitanzi yenyewe................

Inaweza kuwa siyo leo au kesho, lakini ni lazima itatokea siku hiyo serikali itajutia hivyo vitendo vyake vya kiwapuuza wananchi wake waliowapa hayo madaraka
 
Kwa kuwa inajua hamna atakayekaza hicho kitanzi na washafanya michakato yao kama hapa wanavosema!
 
Attachments

  • 5770917-12f2f23d25bbe7fc3516e11af8120993.mp4
    15.1 MB
  • 5811319-c90487a0a3c9f670172c401e803cbac6.mp4
    3.5 MB
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.
Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Kuna mahali umeandika yanayoingia akilini mengine pumba.Kama uchunguzi haujakamilika itakuwaje ? Ile haraka aliyosema Mhe. Rais haikutaja ni ndani ya muda gani.Ama hili la kujiuzulu umetaja na IGP.Labda ukasome tena shule ufundishwe mambo mbalimbali ili usikurupuke kuandika kwa hisia.Katika jeshi hakuna kujiuzulu.
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.
Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Kumbe kuna wakati intelejensia haifanyi kazi ama huchelewa,

Mnanikumbusha, usipoijua sheria ya kuelea chombo kitazama pia usipo ijua kanuni ya joto taa zinaungua nyumbani hasa jikoni
 
Sikuwahi kusoma andiko la Mh Raisi.ila kama ni kama ulivyoandika hapo naona kama Mh kasema ni kitendo cha kikatili kabla ya ripoti.Pili,au labda sasa keshapewa ripoti akasema "kumbee".
 
Duuh yaani kuna watu bado mna matarajio makubwa na Ikulu kutoa kauli zaidi ya zile "Kifo ni kifo"?
Wanataka big result now, ama kushuhudia anaye jitekenya akicheka.

Hivi kauli mbiu ya "Big result now" iliishia wapi
 
Hapa Chadema mlikosea kitu kimoja tuu kikayaponza maandamano yenu ya amani yakapigwa marufuku, ni ile kauli mbiu yenu ya maandamano hayo!“Samia Must Go”, hivyo mkaonekana mnahubiri amani huku mmeficha mapanga!.

Naunga mkono hoja.
P

Yeye ndiyo amir jeshi mkuu ,atoe majibu regardsless ya chochote kilichotokea ,hiyo kauli mbio ya SMG(Sir100 Must Go) ni ya kumsisitiza atoe majibu kwa haraka.

Ukiona tukio kubwa limetokea ambalo linaacha trace nyingi za kuweza kuwajua wauaji au watekaji na hakuna mtu aliyechukuliwa hatua basi jua ni "WATU WASIOJULIKANA" ndiyo wametekeleza ,wewe unachotakiwa kufanya ni kuoga na kulala kazi iendelee.
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Kama kusoma ujui hata picha uoni. Imekwisha hiyo. Ungeaza kuuliza ni nani walirusha bomu kwenye mkutano wa CDM Arusha, Nani Alimuua Alfonce Mawazo, Nani alimpiga risasi tundulisu, Nani alitengeneza kesi ya ugaidi ya Mbowe nani Amewateka wakina soka Mbona la kibao lina mda mfupi sana, sisimizi !!!Bado Jeshi letu linachonguza yote haya wala usihofu uchunguzi ni Process ya mda mrefu hasa kwa watu hawa wasiyo eleweka ila Ingekuwa ni Jaji au waziri inakuwa Rahisi kwasababu nyendo zao zipo straight
 
Yeye ndiyo amir jeshi mkuu ,atoe majibu regardsless ya chochote kilichotokea ,hiyo kauli mbio ya SMG(Sir100 Must Go) ni ya kumsisitiza atoe majibu kwa haraka.

Ukiona tukio kubwa limetokea ambalo linaacha trace nyingi za kuweza kuwajua wauaji au watekaji na hakuna mtu aliyechukuliwa hatua basi jua ni "WATU WASIOJULIKANA" ndiyo wametekeleza ,wewe unachotakiwa kufanya ni kuoga na kulala kazi iendelee.
Ni jambo la ajabu kuwa hao watetezi wa Mama wanakomalia eti CHADEMA wamekosea kuweka "Samia must go" kama slogan yao Kwenye maandamano yao ya amani.........

Hebu mjiulize huko Kenya walikuwa na slogan "Ruto must go" je maandamano yalizuiwa??

Je huyo Ruto ameondoka madarakani, au bado anaendelea na madaraka yake??

Mtambue kuwa hizo ni politics tu na Kila kinachoweza kusemwa -kinasemwa, Ili mradi huvunji sheria za nchi
 
Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Yaani tuliombee Taifa? Mkuu una amini maombi yana msaada wowote kwenye Taifa hili na watu wake? Tukiomba na majibu yasipokuja una shauri tufanye nini kama wananchi?
 
Siku tumbili alivoahidi kuichunguza na kutoa hukumu ya haki kwa kesi ya ngedere
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Kwanza jiulize Mnyika yuko wapi?
 
Yaani tuliombee Taifa? Mkuu una amini maombi yana msaada wowote kwenye Taifa hili na watu wake? Tukiomba na majibu yasipokuja una shauri tufanye nini kama wananchi?
Naamini kuwa maombi Kwa Mungu, Yana nguvu sana na kama majibu yake yasipokuja leo au kesho, bado naamini ipo siku Mungu aliye Mkuu kuliko kitu chochote hapa Duniani atatoa majibu tuuu.
Full Stop
 
Back
Top Bottom