Kimya Cha Rais Samia kuhusu kifo cha kiongozi wa CHADEMA, Ally Kibao, kinaanza kutia wasiwasi mkubwa

Kama ulisikiliza kwa makini kauli ya Rais kuwa ametumiwa clip jinsi Chadema wanavyotekana na kuuana wenyewe alikuwa anatuma ujumbe kuwa hatajishughulisha na suala hilo kwani amekwisha aminishwa na watu wake kuwa hata Mzee Kibao ameuawa na Chadema wenyewe. Kifupi ni kuwa kwa upande wake amekwisha funga faili hilo hivyo kutegemea kuwa kuna ripoti yoyote ni kujidanganya hakuna uchunguzi wowote uliofanyika.

..kama ni kweli Chadema wanatekana, Je, Raisi hatakiwi kuwatetea, na kuwatendea haki, wahanga wa uovu wa Chadema?
 
Wasiwasi wangu ni kwa Soka na wenzake maana siku zinaenda na mamlaka zote zimekana kuwashikilia nahofia ya Ben Saanane 😥

..Ni zaidi ya siku 40 toka Soka na wenzake watekwe.
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI, sasa sielewi ni kwanini anagomea kuundwa Kwa Tume huru ya kijaji , kuchunguza kifo hicho Cha Ali Kibao??

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Mbona alishazungumza septemba 23!
 
Si ndio the citiz3n wanaibuka kukumbusha na animated clip wanafungiwa na TCRA.

Lakini mjumbe hauwawi na clip imetrend twitter. 4R kuna independent media coverage kweli au hebu tukumbushane ile stageplay ya 4R
Weka hapa hiyo animation
 
Mliambiwa mzoee kifo, bado nini tena.
 
Alitoa tamko la kusikitishwa na amri ya kufanyika haraka kwa uchunguzi hukuona? Au ulikua busy space kuhamasisha maandamano? Rais sio polisi ifike mahali kila chombo kifanye kazi kwa nafasi yake. Ukikosa mada nzuri ya kuanzisha weka hata like kwenye mada za wenzio sio lazima ujaze saver!
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI, sasa sielewi ni kwanini anagomea kuundwa Kwa Tume huru ya kijaji , kuchunguza kifo hicho Cha Ali Kibao??

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
 
Attachments

  • VID-20241003-WA0005.mp4
    14.7 MB
Kama ulisikiliza kwa makini kauli ya Rais kuwa ametumiwa clip jinsi Chadema wanavyotekana na kuuana wenyewe alikuwa anatuma ujumbe kuwa hatajishughulisha na suala hilo kwani amekwisha aminishwa na watu wake kuwa hata Mzee Kibao ameuawa na Chadema wenyewe. Kifupi ni kuwa kwa upande wake amekwisha funga faili hilo hivyo kutegemea kuwa kuna ripoti yoyote ni kujidanganya hakuna uchunguzi wowote uliofanyika.
Acha kumuwekea Mh. Rais maneno mdomoni. Sijui kwanini CHADEMA mnapenda uzushi? Hayo ni mawazo yako na si maneno aliyosema.
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI, sasa sielewi ni kwanini anagomea kuundwa Kwa Tume huru ya kijaji , kuchunguza kifo hicho Cha Ali Kibao??

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Wahalifu hawawezi kujichunguza wenyewe
 
Tanzania, na hasa CCM, wanategemea sana hadaa na uwongo. Yumkini kauli ile ilikuwa ya hadaa, iliyolenga kuwatuliza Watanzania waliokuwa wanataka uwajibikaji, lakini haikuwa na dhati ya moyo.

Walipoona wamejipanga vizuri kuulinda uovu na ushetani walioufanya, ndipo walipotoa ile kauli kuwa kifo ni kifo tu, na kwamba Ally Kibao hakuwa wa kwanza, kote Duniani mauaji ya watu kuuawa kwa namna ile yapo!! Bila shaka, Ally Kibao, ni sisimizi!!

Maombi yetu: Mungu wa huruma, muweza wa yote, tunaomba mkono wako mrefu uwafikie watu hawa wanaoamini kwa vile wana madaraka, basi wana haki ya kuuondoa uhai wa yeyote wasigemtaka, wakati wowote. Nasi, tunaomba utujalie ujasiri wa kuunena ukweli dhidi ya uovu na waovu bila hofu wala woga hata kama waovu hawa wana nguvu za dola, kwani dola yao haina nguvu kuuzidi uweza wako.

Damu ya Ally iwe juu ya wauaji wake na wote wenye kuwalinda wauaji.

Hizi za kiimani wanaziita dua la kuku
 
Back
Top Bottom