Kimya ni jibu sahihi sana

Kimya ni jibu sahihi sana

Ukweli ukimya ni mzuri lakini pia una Madhara yake watu wasipokuelewa wanaona rahisi kukuzushia kiburi au una linga na pia sababu haujibu kitu

Wataona ni fursa hiyo...sio Kila mara ukimya unasaidia
Sawa mkuu,nimekupata🙏
 
Ukweli ukimya ni mzuri lakini pia una Madhara yake watu wasipokuelewa wanaona rahisi kukuzushia kiburi au una linga na pia sababu haujibu kitu

Wataona ni fursa hiyo...sio Kila mara ukimya unasaidia
masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanaambizana kuwa me ni jeuri& najidai, sasa kulikuwa na mzee mmoja ananifahamu zaidi ya wale watu wanavyonifahamu.. mzee ikabid awachane live kuwa kijana ni mstaarabu ila hana maneno mengi wala shobo hususan kwa watu asio wafaham. lakin hii yote hutokana na ukimya
 
Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya[emoji120]

Ndiyo hivyo[emoji2936]
Kuna sehemu nipo,tangu January nipo kimya tuuuuu,watu wanapata tabu sanaaa.Ila me na enjoy life sn kwa huu ukimya naumeniepusha na mengiiii
 
Yeah,wanaanza kuangaika wao wenyewe🤣
 
masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanaambizana kuwa me ni jeuri& najidai, sasa kulikuwa na mzee mmoja ananifahamu zaidi ya wale watu wanavyonifahamu.. mzee ikabid awachane live kuwa kijana ni mstaarabu ila hana maneno mengi wala shobo hususan kwa watu asio wafaham. lakin hii yote hutokana na ukimya
Acha wakuone ivoivo 🤣
 
Back
Top Bottom