Mazee huoni aibu kuwataka kinadada waone aibu?
kweli kitendo cha kufikishwa gesti aibu tena haipo humo mlipopita gesti kila mtu anajua mnaenda ku-do halafu unategemea aibu ya nini wakati imeishia njiani. watu tunatofautiana kweli kwanza kitendo cha mimi kupelekwa gest lengo kuu kungonoka naona kama umenifananisha na changu hivi.
Hivi jf humu kuna mtu hajawahi kunongoneka kwenye kichaka,gesti au hotel I? Let us be sincere jamani.hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
mimi ilinitokea ile tumeingia tu mahala mara bint kaenda choon kukata gogo,si unajuwa mambo ya self,ile harufu yote ikarudi chumbani huwez amini nyege zote zilikatika,kaz kwel kwel

NA wanaopelekwa mashamba ya mihogo?