kina dada kwa tabia hii,mtaolewa wengi

kina dada kwa tabia hii,mtaolewa wengi

Hawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo*
*Unaeza jikuta umekubali kuolewa hivi hiv bila kujijua...Nikupeleleke gheto ndio...eeh
Mkuu umeanza lini kucopy na ku paste
 
Back
Top Bottom