The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #301
Vipi kama sitaoa wala kuzaa mtoto wa kike?Wanaume wachafuaji utawajua tu,umepanga kutuchafulia vitoto vya Dada na kaka zetu vitoto ambavyo hata future navyo ni finyu wanaume hebu muwe na huruma unayoyafanya kwa mtoto wa mwanaume mwenzio ndiyo yatakayofanywa kwa binti yako, mimi nna binti mmoja wa kike lakini mume wangu huwa anamuwazia sana hasa pale muda utakapofika mabazazi kama mtoa post watakapoanza kumnyatia
Nisamehe mama mkwe,Sisi wa 80s unaotunanga hapa ndio wakwe zako kwa sasa,ambao vibinti vyetu ndivyo hivyo vya 2000s...
Nitake radhi mkweo kwa kuninanga mtandaoni.
Anyway, kiuhalisia,mapenzi kwa mwanamke yananoga kuanzia 30s,anajua ni nini me anataka,wengi akili zimeshakomaa wamejituliza. Hao wengine ni watoto,ndo wanajifunza mapenzi.
Mama yangu!, huo ndio ugonjwa wangu mkuu, mkia.Kuna mtoto wa jirani hapa ni wa 2000 halafu ana mkia kama wa masogange yani ni sheedah.
Kama hutaoa mtoto wa kike basi yumkini waweza kua ni Khanisi au basha watu ambao hamkubaliki katika jamii zetuVipi kama sitaoa wala kuzaa mtoto wa kike?
90's maana yake 1990 mpaka 1999Mtu aliyezaliwa 90, 2017,ana miaka 27 kweli ashindwe kujisafisha daaaaa
ndo nyie mlisoma mkiwa vijeba.. mtoto wa dada angu kazaliwa 2005 na yuko form 1 which means anamaliza form 4 akiwa na 15Mtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Huyu karithi...naona kuanzia mama yake dada yake wote wana mizigo.Mama yangu!, huo ndio ugonjwa wangu mkuu, mkia.
Alafu sijui vinatoa wapi mikia hivi vidogo.
Wapo waliomalizaMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Nataka tuyajenge maishaUnataka ucalculate umri wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes inawezekana sana tuuMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Jibu ni ndiyo kama ameanza drs LA kwanza na miaka6 kwa mtoto wa kike mwenye Afya njema,atamaliza la7 Akiwa na12yrs atakuwa amemamaliza form4 mwaka Jana Akiwa na 16yrsMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Kitu 1979 kurudi nyuma acha bwana unapewa papuchi Plus money including ushauri wa maisha hawa wa 80s na 90 full headacheNi katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.
Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.
Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado unaamini unasumbua mjini utakua unajidanganya, utasumbua madingi wa ila sio vijana wa age yako, mmeishakua zilipendwa.
Mimi ni age mate wenu ila siwezi hata kuthubutu kuwatongoza, range rover ya miaka ya 80 haiwezi kulingana ubora na vits ya miaka ya 2000, mileage ya range ni kubwa sana .
Kama bado mtu alikua na hayo mawazo naomba uyaache na utundike daluga uwaachie vijana wa miaka ya 90 watawale ingawa na wao tunawapa hii term moja ya magu watatoka barabarani madogo wa 2000 wachukue hatamu.
Ingawa haya ni maoni yangu binafsi ila ndio ukweli wenyewe. Sisi wa kiume wa miaka hiyo bado tupo tupo sana.
Soko! MmmhhSa hivi watotot waliopo sokoni nikauanzia 1995-2000
Mkuu, I beg to differ... Muone mama Salma na uzee wote ule bado ana hit kuliko vibinti vya born 90! Ni vile tu unavyojiweka na kupunguza dhiki ndogo ndogo na kuish stress free life, bado utang'ara...