Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Najua mkuu unakimbia garama hata mm huwa nachukua vidogo kwa kuogopa garama
 
Age iende ,isiende ,kikubwa ujue tu kuutumikia uwanja wa carpenter..............
 
Unaongeleaje case ya Janet Jackson?
Nnachokiongea nakijua,
J.jackson yule ni msanii kama alivyokuwa kaka yake michael jackson, yatizame maisha yao uone jinsi yalivyo jaa u fake ikiwemo kubadili ngozi nywele na pua,
Nakushanga a unavyokomalia habar za huyo mama kama exception,

Kama unabishana na sayansi basi amini hivyo hivyo jinsi un vyo amini wewe.
 
Ivi kwa akili yako hao wadada wa miaka hiyo wanawafikiria nyie??? We fata tu watoto wa 90 na hao wadada watafwata na wanaume wa 70... Thats life...
Wanaume wa 60s na early 70s ndio watavutiwa na wadada wa 80s, wanaume wa late 70s hawana mpango na wadawa wa 80s, tuko nao tunascramble kwa wadada wa 90s ingawa wao tutawaachia wadada wa early 90s sisi tuhamie kwa wadada wa 2000
 
Vunja mifupa wakat meno bado ipo[emoji445][emoji444]....km usichana wako uliutumia vibaya kipindi cha mkapa huu uzi utakuumiza ukisoma comments.
Mungu ni mwema.
Wao miaka ya mkapa wametusumbua sana, sisi wenzao wa miaka yao wa kiume wengi tulikua hatujakaa poa, sasa wameshatoka barabarani, wakubali muda wao umekwisha
 
Nyie mnao wadiss hawa dada zetu wa 80's nawasikitikia sana labda km mna mpango wa kutooa maishani lkn kumbukeni hata hao wa 90's mnao waona wazuri leo nao muda wao utapita tu. Mi binafsi ni wa early 80's na nawakubali sana dada zangu hawa nyie endeleeni kuwadiss tu.
Hatuwasiss kiongozi, yumewakumbusha tu kua muda wao wa kusumbua mjini umeishapita, huu ni ukumbusho tu kwa dada zetu kua kizazi kipwa na kibichi kishashika hatamu wao wapumzike tu.
 
Umenikumbusha juzi kuna mtoto nimekutana nae nilidhani anaweza kuwa wa mwaka 1990-1993 mtoto kumbe wa mwaka 2000 kapanda hewani afu bonge la mshepu ndio katoka kumaliza form 4 da nipo kwenye mchakato sasa wa kupata kitu kibichi
segerea inakuita
 
Back
Top Bottom