Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, c ana miaka 17 huyo. . Mbona mi nilimaliza form4 na miaka 16Mtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Mtoto wa Anko wa 1997 yupo form 6 baada ya kurudia miaka 2 so inawezekanaMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Hiyo ni kweli, hawa wa 1980s ni waelewa mpaka basi. Yaan we sema tu nahitaji kitu katikati ya miguu mtacheka halafu mnapanga siku. Sio siri mambo yamejirahisisha siku hiziShida ya vitoto hivi kuvitongoza kazi sana -ila wa 80 wengi ni waelewa
Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Endelea kujidanganyaNaona amegusa penyewe...pole
Mmmhhh!Hiyo ni kweli, hawa wa 1980s ni waelewa mpaka basi. Yaan we sema tu nahitaji kitu katikati ya miguu mtacheka halafu mnapanga siku. Sio siri mambo yamejirahisisha siku hizi
Hii calculation ya mwiisho sijakuelew, maan n mimi ni muhanga wa.mwaka 852017
- 1980
----------
0037
------------
37. Oclock [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Menopause 45 oclock
45
-37
---- --
08
--------
You are wrong mkuu
Ni kwamba ,Hii calculation ya mwiisho sijakuelew, maan n mimi ni muhanga wa.mwaka 85
Ndio hapo sasa.. Watu tunalea ndoa na watoto asa hiviHahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Ndio nawataka nyie. Karibu tuyajenge wala hata usifedheheshwe na maneno ya mabazazi kama mleta mada, old is gold karibu bibie.Na sisi wa miaka ya70 je
Nataka Demu aliezaliwa mwishoni mwa 70s. Kama yupo naomba anione tuyajenge.
Unamuongeleaje na Janet Jackson aliyezaa akiwa na 50s?Ni kwamba ,
Mwanamke akifikisha umri wa miaka 45 hawezi kuzaa,
Chukua ,
2017
-1985
----------
0032
--------
45 - 32 = 13
13 ni idadi ya miaka ambayo unaweza kushika mimba na kuzaa