Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Wanaume wachafuaji utawajua tu,umepanga kutuchafulia vitoto vya Dada na kaka zetu vitoto ambavyo hata future navyo ni finyu wanaume hebu muwe na huruma unayoyafanya kwa mtoto wa mwanaume mwenzio ndiyo yatakayofanywa kwa binti yako, mimi nna binti mmoja wa kike lakini mume wangu huwa anamuwazia sana hasa pale muda utakapofika mabazazi kama mtoa post watakapoanza kumnyatia
Mtoto kwa mama yake nyumbani
 
Binafsi napinga wazo lako kwanza vitoto vinanuka mikojo havijui kukatika yaani taabu tupu ila ukipata hata LIMMAMA la 1970 raha sana aisee.
 
Hivi yule mbunge Wa cdm sauti ya bangi akikusikia atajisikiaje?
 
30's oye binafsi me nawapenda sana ukmpata huyu anakua wa kwako peke yako cause anakua kakwepa mishale mingi hivyo anakua hana papara kama,20s afu wanna full maujuzi
 
Unaongea ngono au maisha
Old blooms knows all the corner kaka tipange 90s pasua kichwa hakuelewi bila mshiko mwendo kasi hawa
 
Wewe wa miaka ya 80 lazima utamani wa miaka 90
Saivi tuna majukumu ya kimaendeleo na wa miaka ya 70 ndo wanatuona wabichi kabisaa!!! Majukumu yameongezeka nyie endeleeni kuwatafuna wao tuu maana hamna namna ingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom