The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #161
Sio kweli mkuu, mimi ni wa 80s ila late 80s ila sio very late 80s. Nadhani umenipata.Nadhani mleta mada ni kijana wa 90s.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli mkuu, mimi ni wa 80s ila late 80s ila sio very late 80s. Nadhani umenipata.Nadhani mleta mada ni kijana wa 90s.
Badili jina, kikongwetrace sio misstraceUtatuweza wapi sisi wewe nenda Kwa vikojozi wenzako.
Mimi naitwa Malikia Trace.Badili jina, kikongwetrace sio misstrace
Haha washazeeka hao mkuu.Early 90's nawapa miaka hii miwili na nusu ya magufuri watakua washatoka barabarani rasmi. Ofcoz ni wazee sema kuna wachache bado wanadunda mtaani.
Ng'ombe hazeeki maini kijana.....!Ni katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.
Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.
Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado unaamini unasumbua mjini utakua unajidanganya, utasumbua madingi wa ila sio vijana wa age yako, mmeishakua zilipendwa.
Mimi ni age mate wenu ila siwezi hata kuthubutu kuwatongoza, range rover ya miaka ya 80 haiwezi kulingana ubora na vits ya miaka ya 2000, mileage ya range ni kubwa sana .
Kama bado mtu alikua na hayo mawazo naomba uyaache na utundike daluga uwaachie vijana wa miaka ya 90 watawale ingawa na wao tunawapa hii term moja ya magu watatoka barabarani madogo wa 2000 wachukue hatamu.
Ingawa haya ni maoni yangu binafsi ila ndio ukweli wenyewe. Sisi wa kiume wa miaka hiyo bado tupo tupo sana.
Hapa ndio tunatofautiana. Mimi nitachukua RR ya 1988 na kuacha Vits ya 1999. Unajua kwanini? Kwasababu class yangu ni RR sio Vits na RR itakiwa RR na Vits itabaki kuwa Vits regardless of their age.Katika hali ya kawaida siwezi kununua range rover ya mwaka 1987 kama zikikuwepo kwa mfano nikaacha vits ya mwaka 1999, haiwezekani, mimi binafsi siwezi kutoka na dada wa miaka 29 nikaacha dogo wa miaka 25, 24. Haiwezekani.
Hongera kwa kuolewa MkuuHahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Wewe wa lini Mkuu haaaakazi kweli kweli
Haaaaa Mkuu nimecheka sanaHaha espy kumbe hata tukipaka marashi bado harufu yetu ni ya uzee tu khaaa
Acha tu, watu wanapondaaHaaaaa Mkuu nimecheka sana
me ni mzee mkuu wa hiyo hiyo 80Wewe wa lini Mkuu haaaa
Wanakuongezea stress tu mkuu, waacheNgoja niendelee
Kupata wine yangu hapa narudi kesho
Ndio
Mie ndo nshazeeka tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo hao 90s ni wasumbufu hatari, hakajui muda huu unafanya kazi, muda huu uko busy, sasa kakupigie cm usipokee au inatumika, mtu mzima unaomba msamaha na inabidi uwe na utoto kama wake ndo muendane.....!!!! Dah, full stress